Nini kilichoipata Shule ya Minaki Sekondari iliyoko Wilaya ya Kisarawe?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hii shule kwenye matokeo ya necta mwaka jana na mwaka huu haipo? Shida nini? Hii ni moja ya shule kongwe zikiwa pamoja na shule kama Pugu sekondari!
 
Soma tena ulichoandika? Matokeo ya Necta ya form ngapi? kama ni form 4 umefanya utafiti kujua walifanya mitihani au haina O level miaka hii.
 
Ooh! Kumbe Minaki haina O level? Sikujua! A level 2023 nimeona na wako vizuri! Lakini nadhani na O level walikuwa nayo!
 
Shule shingi za zamani za bweni waliziondoa o level khwapa nafasi vijana wa kata wakasome kule,ili shule iweze kuchukua vijana wengi A level ilkbidi watoe o level
Ata chama langu la Tosamaganga nilikopita A level waliwatoa o level ila wakati nasoma walikuwepo the same to minaki etc
 
Kibiti
Kigonsera
Tosamaganga
Kwiro
Ndanda
Karatu
Ihungo
Rungwe

Etc walifuta O level.
 
Sasa hivi olevel zinatolewa katani tu huko,shule kongwe zone ni advance pekee
 
Back
Top Bottom