Nini kilichoipata Shule ya Minaki Sekondari iliyoko Wilaya ya Kisarawe?

Nini kilichoipata Shule ya Minaki Sekondari iliyoko Wilaya ya Kisarawe?

Serikali mpo wapi kuna watu wanatembea na wanafunzi na mmkekaa kimya
 
Sasa hivi olevel zinatolewa katani tu huko,shule kongwe zone ni advance pekee
Uongo

Tabora boys
Kibaha
Mzumbe
Msalato
Kilakala
Ilboru
Tabora girls
Technical schools zote

Zina o level na ni kongwe pia
 
Back
Top Bottom