Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Wenye akili timamu wanamwelewa,tatizo nyie uchawa umewazidi.gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.
Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?
pole gentleman π
Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu ni mchanga sana kwa Mzee Wasira.Lissu knows that atakaagwa mapema.Yani Lissu afanye mdahalo na wasira? Muwe mnafikiria mara 2 hata km mnalipwa per post, hell no! Akafanye na vikongwe wenzake. Mwalimu Lissu yupo busy kujenga taasisi na kuelimisha watanzania. Jana mama yenu na serikali nzima walikuwa online kupata somo la no reform no elections, sio caliber yake perid
Hana time na vikongwe, yes mchanga kiumri kwani viazi hawazeeki! Grow upLissu ni mchanga sana kwa Mzee Wasira.Lissu knows that atakaagwa mapema.
mvutabangi yule si atakua anaongelea masuala ya kubeti tu gentleman?..Steven Wassira afanye mdahalo na John Heche.
..Samia Suluhu afanye mdahalo na Tundu Lissu.
nani ababaike na kujibu makelele ya kibaka na tapeli wa siasa gentleman?Wenye akili timamu wanamwelewa,tatizo nyie uchawa umewazidi.
Yule mzee nyie endelee nae,TL ccm nzima hakuna wakumjibu kwa hoja.
Miaka 80+ π€£π€£π€£π€£π€£π€£ shukuluni vyombo vya Dola visivyojielewa.ila mda ni mwalimu mzuri
Waungane CCM wooooote ikiwezekana hata wafu wafufuliwe ili woooote waende kumkabili Lissu kwenye mdahalo ijapo najua hakuna hoja yoyote kutoka kwa Lissu itajibiwa kwa ufasaha.gentleman,
hebu elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau π
Mzee alikimbia,umesahau hata m.kiti alikimbiaKwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ameeleza. Wasira sio final decision maker wa CCM. Final ni Samia.Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?π
Mungu Ibariki Tanzania
Hao ni rubber stamp tu. What Samia says, goes notwithstanding CC of CCM.final decision making organ ni kamati kuu ya CCM,
amepotosha umma huyo kibaka na tapeli wa kisiasa π
Vibaka wapo madarakan mpaka wanazeeka,Nchi hii Ina maajabu.nani ababaike na kujibu makelele ya kibaka na tapeli wa siasa gentleman?
CHADEMA ni vibaka na matapeli wa kisiasa hawawezi kuwa na hojaKwamba pamoja na uzee wake,