Pre GE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.

Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?

pole gentleman 🐒
Wenye akili timamu wanamwelewa,tatizo nyie uchawa umewazidi.

Yule mzee nyie endelee nae,TL ccm nzima hakuna wakumjibu kwa hoja.
Miaka 80+ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shukuluni vyombo vya Dola visivyojielewa.ila mda ni mwalimu mzuri
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

..Steven Wassira afanye mdahalo na John Heche.

..Samia Suluhu afanye mdahalo na Tundu Lissu.
 
Yani Lissu afanye mdahalo na wasira? Muwe mnafikiria mara 2 hata km mnalipwa per post, hell no! Akafanye na vikongwe wenzake. Mwalimu Lissu yupo busy kujenga taasisi na kuelimisha watanzania. Jana mama yenu na serikali nzima walikuwa online kupata somo la no reform no elections, sio caliber yake perid
Lissu ni mchanga sana kwa Mzee Wasira.Lissu knows that atakaagwa mapema.
Speech eloquent and natural debate for any thing,Wasira yupo juu.
Political experience and international exposure, Wasira yupo juu.
Best colleges and universities attended,Wasira yupo juu.
IQ Wasira yupo juu.
Politician / boxer , Wasira atamtangwa kwa knock out first round bila kukosea.
Wasira hataki promoter yeye ni TNT yaani Transcontinental anti Ballist Missile.
Chunga sana usiigie anga zake.
 
..Steven Wassira afanye mdahalo na John Heche.

..Samia Suluhu afanye mdahalo na Tundu Lissu.
mvutabangi yule si atakua anaongelea masuala ya kubeti tu gentleman?

rais aache kudeal na dhamana nzito ya kulitumikia taifa akafanye mdahalo na kibaka na tapeli wa siasa, kweli??

kua na heshima kidogo gentleman :NoGodNo:
 
Wenye akili timamu wanamwelewa,tatizo nyie uchawa umewazidi.

Yule mzee nyie endelee nae,TL ccm nzima hakuna wakumjibu kwa hoja.
Miaka 80+ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shukuluni vyombo vya Dola visivyojielewa.ila mda ni mwalimu mzuri
nani ababaike na kujibu makelele ya kibaka na tapeli wa siasa gentleman? :NoGodNo:
 
gentleman,
hebu elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau 🐒
Waungane CCM wooooote ikiwezekana hata wafu wafufuliwe ili woooote waende kumkabili Lissu kwenye mdahalo ijapo najua hakuna hoja yoyote kutoka kwa Lissu itajibiwa kwa ufasaha.
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mzee alikimbia,umesahau hata m.kiti alikimbia
 
ni muhimu kama wanasiasa wenye nafasi katika jamii kushiriki mdahalo huo bila kukimbia kwa kutoa sababu ambazo hazina mashiko kabisa 🐒
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ameeleza. Wasira sio final decision maker wa CCM. Final ni Samia.
 
final decision making organ ni kamati kuu ya CCM,

amepotosha umma huyo kibaka na tapeli wa kisiasa 🐒
 
nani ababaike na kujibu makelele ya kibaka na tapeli wa siasa gentleman? :NoGodNo:
Vibaka wapo madarakan mpaka wanazeeka,Nchi hii Ina maajabu.

80+ yrs hamuoni hata kinyaaa!.

Ama kweli,ukustaajabu ya Policcm utayaona ya vijana wasiokuwa na future.

Inasikitisha sana,inatakiwa mtoke hata kea nguvu wajinga nyie.
 
Kwamba pamoja na uzee wake,

Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?

Ndugu mdau,

Tundu Lisu ameeleza sababu yoyote yenye mashiko kweli ya kutokomea kusikojulikana baada ya Mzee wasira kuonyesha utayari wa kushiriki mdahalo wa kisiasa dhidi ya mwana siasa yeyote nchini au ni woga tu?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
CHADEMA ni vibaka na matapeli wa kisiasa hawawezi kuwa na hoja
 
Back
Top Bottom