Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Wenye akili timamu wanamwelewa,tatizo nyie uchawa umewazidi.gentleman,
naona pepo la mauti limekujaa dah!
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe, Mungu akuepushe na kunusuru na mauti unayowaza kutwa kucha.
Hata hivyo,
uneelewa hoja mahususi mezani gentleman? Si ungesoma taratibu kwa umakini na ndipo ukoment bila mihemko?
pole gentleman 🐒
Yule mzee nyie endelee nae,TL ccm nzima hakuna wakumjibu kwa hoja.
Miaka 80+ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shukuluni vyombo vya Dola visivyojielewa.ila mda ni mwalimu mzuri

