Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

Ingependeza kama ungetaja wimbo wa O ten ambao ametajataja Majina tu..
Mimi nafikiri nyimbo zinazotaja Majina tu Ni Kama wimbo wa bwana misosi nitoke vipi..
Hata Tupo pamoja ya Gk naye alitaja taja majina tena bila vina,bora Misosi kuna vina.
 
Nitoke vip hauna vina? Hivi mlikuwa mnasikiliza hizo nyimbo au mmekaririshwa tu?
 
kutaja taja majina tuu nyimbo nzimaa tenaa kwa mistari isiyo na vinaa[emoji3][emoji3][emoji3]

Hii ni disi ya King Crazy GK FT. Pauline Zongo wimbo unaitwa TUPO PAMOJA
Uko sahihi..
 
Aliyetajataja majina Crazy GK kwnye nyimbo yake ya Shukrani au nawashukuruni (nachanganya majina) alitaja majina ya watu anapwashukuru nyimbo nzima,O ten kisa ni kusifu ngono na pombe,halafu alikuwa akienda moro analeta ubishoo sana watu wakawa hawamkubali,wanamdiss wanamuona bishoo tu,moro alikuwa hapendwi akawa anahisi Afande anamchomea kwa washkaji wa Moro kipindi hicho afande moro ameikamata!!
 
na cha ajabu zaidi wimbo uliompa ushindi Afande Sele ni darubini jali ambao kamshirikisha Prof Jay na Solo Thang mwenyewe
Sio kweli.Darubini kali yuko na Dito.Ngoma aliyotoa na Prop Jizze na Solo inaitwa mtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…