Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Binafsi nilikuwa namkubali sana enzi hizo.

Ila changamoto moja ilipekeaga kuachana naye, yaani alikuwa anapenda sana ku-flirt (kuchekeana chekea) kupitiliza na kila mtu especially wanaume.

Yaani hata washkaji yaani. Hilo jambo lilikuwa linaniumizaga sana kipindi hiko. Yaani nilikuwa naumia kiasi kwamba nilikuwa nadhani kitendo cha manzi ku-chekacheka na washkaji hakina tofauti na kufanya nao mapenzi.

Baadae nili uforce moyo wangu kwa kibinti kingine kisichokuwa na mbele wala nyuma. Nilifanya hivyo pasi na kumuweka wazi yule wa awali niliyekuwa naye, nikijua wazi kabisa sikuwa na sababu ya msinga ya kumfanyia hivyo.

Ila baadae akaanza kuhisi ukaribu wangu kwake unapungua na akaja kufahamu niko na mtu mwingine. Aliponiuliza nikamueleza knaga ubaga.

Nakumbuka akalia sana yaani huku akidai kuwa kwann sikumueleza. Ila baadae akazoeaga kuwa apart na mimi na maisha yakaendeleaga.

Kipindi hiko nadhani kulisababishwa na kutofahamu zaidi masuala ya Mapenzi. (Ujana) Mpaka sasa nikikumbuka huwa nachekaga sana kimoyo moyo.

Je, wewe una kisa chochote kilichopelekea uachane na mpenzi wako wa awali?

20220213_202028.jpg
 
Daah unanikumbusha mbali yaani enzi hizo huyu dem nilimpenda sana ila nilikuwa siwezi kumwambia katu nakumbuka tulikuwa na mazoea wanaume kucheza rede na wanawake basi hata kama nimechoka nitacheza tu kila nikimwangalia nafurahi.

Mama alikuwa nananichunga sana yani full kukaandani, ila we haiwezi pita siku sijatoroka nikacheze kwao nyumba ya nyuma tu nakumbuka alikuwa anaitwa SHANI

Nakumbuka siku moja nilikula dili na kaka yake tubadilishane kwa kuwa na mimi nina dada akaanza yeye bwana kaenda kamtongoza akakubaliwa mimi naenda kwa shani nikakuta anaoga kaka yake akamwambia demu Binadamu Mtakatifu anakuita Demu aliitikia kwa bashasha zote anusubiri natoka kweli hakuchelewa akatoka we kumuona moyo PAAAAAh mdomo hauna nguvu we amini siku mtongoza mpaka anaondoka nilikua radhi nikaejuani ila anione acha tu 😍😍😍😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom