Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nilijibiwa hivo, Tena binti Yuko uso mkavu kabisa.

Hii ilinipata baada kuulizia mrejesho baada ya kuona kimya hajaijibu ile barua yangu nzur ya kimahaba nilomwandikia iliyokua na hongo sh. 50 kabisa[emoji4].
Ila DP wewe una karama kabisa ya Kuhonga....uklianza tangu utotoni mwenyewe....Mungu akubariki Sana🤔🤔🤔🤔
 
Ila DP wewe una karama kabisa ya Kuhonga....uklianza tangu utotoni mwenyewe....Mungu akubariki Sana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ha ha ha.....
Wee Joannah Zaman iyo pesa ilkua mingi Sana ujue[emoji4]

Afu imekusanywa mafungu mafungu kwa jasho sana ili yote TU kumfanya mpenzi wako afurahi.

Enzi izo ua rose linauzwa ghali Sana (sh.5), unapasuka unalinunua Sasa ile ukilitia Kwny bahasha likiwa bichi natural kabisa,

Unafanya hima iyo barua ipelekwe chap kwa mhusika ili lisije nyauka likapoteza harufu yake soon TU atakapoifungua bahasha[emoji4]
 
Back
Top Bottom