Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Ha ha ha.....
Wee Joannah Zaman iyo pesa ilkua mingi Sana ujue[emoji4]

Afu imekusanywa mafungu mafungu kwa jasho sana ili yote TU kumfanya mpenzi wako afurahi.

Enzi izo ua rose linauzwa ghali Sana (sh.5), unapasuka unalinunua Sasa ile ukilitia Kwny bahasha likiwa bichi natural kabisa,

Unafanya hima iyo barua ipelekwe chap kwa mhusika ili lisije nyauka likapoteza harufu yake soon TU atakapoifungua bahasha[emoji4]
Mi nimekuelewa vizuri 50,sio mchezo ilikuwa nyingi Sasa...wewe Ni mwanaume wa mfano,,,,hivi Hawa wenzio vipi?si wajifunze jamani?
 
mzee wangu kodi ya meza kitambo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Zamani hapa mjini ushindani ulkua mkubwa Sana kwa warembo,

Vinginevyo uwe Ni mtu wa kupenda average girls, afu wachafu wachafu na washamba washamba sana.

Mimi nlkua addicted na wadada wasafi warembo sana afu wale wajanja wajanja wa mjini.
Na kwa bahati mbaya wengi walitokea familia zenye uwezo Sana kuliko kwetu.

Kwaiyo,
sikutaka nami kuonesha UNYONGE, nlipambana sana kumfanya ajione Yuko na mwanaume haswa na aishi maisha Yale Yale Kama alivozoea.[emoji4]

Kwaiyo akitokea sikukuu au wikend shoga zake mpenz wangu wanatolewa out na wapenz wao, namimi sikutaka wakwangu abaki nyuma.

Yaani ntafight sana nipate pesa (kuwapiga mizinga wazazi) ili tu namimi nikamtoe wakwangu tukajumuike wote Kwny party la pamoja.

SEMA HII KITU ILINISAIDIA SANA KUPATA EXPOSURE MAISHANI[emoji4]
 
Alikuwa age mate.... Wakati Yeye anataka kuolewa mimi wala sina hata wazo.basi akatokea mnyakyusa mmoja akatangaza nia akachukua jimbo.

Daaa!! Mnyakyusa yule Ana bahati Sana amepata mwanamke bora sana.

Siku mind but niliumia Sana.
 
Back
Top Bottom