Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Safi
 
Nilimuacha kwasababu alikua Mwarabu, na mimi nilimkubalia tu ila sikumpenda.

So nilivyohama shule nikamuandikia barua tuachane.Aliumia sana kaka wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pombe na Clubbing .
 
Alikua ananipenda sana...
Alipoanza chuo mala ya kwanza kwanza akaninunuliaga na smartphones
Alipofika mwaka wa pili akawa ameshaanza kuijua UDSM Vizuri


Basi hapo ndio na mimi nkaanza kusikiliza nyimbo za marioo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Weeeh...pole broh!
 
Kabisaa yaani! Unapenda tena tena deeply in love!!haikua rizki broo!huyu ndo alikua huru l ain wako
 
Nilijibiwa hivo, Tena binti Yuko uso mkavu kabisa.

Hii ilinipata baada kuulizia mrejesho baada ya kuona kimya hajaijibu ile barua yangu nzur ya kimahaba nilomwandikia iliyokua na hongo sh. 50 kabisa[emoji4].
Kumbe kuhonga umeanza kitambo we mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…