Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nilijibiwa hivo, Tena binti Yuko uso mkavu kabisa.

Hii ilinipata baada kuulizia mrejesho baada ya kuona kimya hajaijibu ile barua yangu nzur ya kimahaba nilomwandikia iliyokua na hongo sh. 50 kabisa[emoji4].
Kumbe kipaji cha kodi ya meza kitambo tu mkuu.
 
Alikua ananipenda sana...
Alipoanza chuo mala ya kwanza kwanza akaninunuliaga na smartphones
Alipofika mwaka wa pili akawa ameshaanza kuijua UDSM Vizuri


Basi hapo ndio na mimi nkaanza kusikiliza nyimbo za marioo
😂😂😂😂😂😂 hapo kwa nyimbo za Marioo mie hoi!!
 
Usaliti...alianza kutembea na rafik zang nilipogundua nikamuacha ila nikaona maisha bila yeye magumu akarudi kuomba msamaha nikamsamehe. Baadae nilikuja gundua kampa mimba kabinti kadogo yaan kuliko hata mimi kipindi hicho nikaondoka mazima hadi leo.
Dah !Pole Sana, hapo Lazima ujiulize kwako alikua anakosa Nini.

Usikute ulkua unamnyima, unataka mpaka ndoa[emoji4]
 
1St love wangu tulikua ktk mahusiano wakat huo tupo O level, ila hatukuwahi kufanya matusi couz wote tulikua tunasoma boarding school shule tofaut, ko kukutan ni likizo tyuuh.

Wazazi wetu walikua wafanya kazi pale sehemu, tulidumu kwa mwaka m1, baadae wazazi wake na yeye walihamia mkoani kwao, ko tangu hapo hatukuwahi kuwa na mawasiliano tumekuja kukutana chuoni kila m1 akiwa na mahusiano yake mengine.

Umbali ndio sababu.
Hamjakumbushia kidg, maana wee nae ushakua Ni bazazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom