Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Usaliti...alianza kutembea na rafik zang nilipogundua nikamuacha ila nikaona maisha bila yeye hayaendi, akarudi kuomba msamaha nikamsamehe.

Baadae nilikuja gundua kampa mimba kabinti kengine nikaondoka kimoja hadi leo.
 
1St love wangu tulikua ktk mahusiano wakat huo tupo O level, ila hatukuwahi kufanya matusi couz wote tulikua tunasoma boarding school shule tofaut, ko kukutan ni likizo tyuuh.

Wazazi wetu walikua wafanya kazi pale sehemu, tulidumu kwa mwaka m1, baadae wazazi wake na yeye walihamia mkoani kwao, ko tangu hapo hatukuwahi kuwa na mawasiliano tumekuja kukutana chuoni kila m1 akiwa na mahusiano yake mengine.

Umbali ndio sababu.
 
Mwanaume wewe una matatizo
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wakati ule wa mapenzi shatashata ulikuwa husikii wala huoni. Ikawaje tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thamani ya mwanaume ni kweli Mali, na sio U-handsome!
Game is everything Bro, look what Happened when she met Dicaprio, and Bezos is the second richest man in the World. Watu wanamfuck na pesa zako unabaki nazo mwenyewe.
IMG_20220216_145608_239.JPG
 
Back
Top Bottom