chupa ya maji
Member
- Oct 31, 2017
- 58
- 68
Dah m nilimkuta na mtu mwingine ila kwa kweli mapenzi ya zamani yalikuwa matam sana tofauti na siku hizi.
Nakumbuka mtoto alikuwa anaitwa JANE nilimwelewa na alinielewa sana yaan mtoto ukikaa nae hivi unajikuta unapata amani ya moyo.
Lakini ndio siko moja napita zangu kwenda shambani kati ya kijiji na kijiji nikamkuta anamsindikiza jamaa ambye hakuwa wa kijijin kwetu, aise sikuongea nae tena japo alikuja kuolewa na huyo jamaa na wanaishi pamoja hadi leo.
Lakini ndio hivyo mara nyingi ananipigia kuwa namsusa na kutaka tukumbushie mambo ila namwambia yale yalishapita