Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nilijibiwa hivo, Tena binti Yuko uso mkavu kabisa.

Hii ilinipata baada kuulizia mrejesho baada ya kuona kimya hajaijibu ile barua yangu nzur ya kimahaba nilomwandikia iliyokua na hongo sh. 50 kabisa[emoji4].
Kumbe kipaji cha kodi ya meza kitambo tu mkuu.
 
Alikua ananipenda sana...
Alipoanza chuo mala ya kwanza kwanza akaninunuliaga na smartphones
Alipofika mwaka wa pili akawa ameshaanza kuijua UDSM Vizuri


Basi hapo ndio na mimi nkaanza kusikiliza nyimbo za marioo
😂😂😂😂😂😂 hapo kwa nyimbo za Marioo mie hoi!!
 
Usaliti...alianza kutembea na rafik zang nilipogundua nikamuacha ila nikaona maisha bila yeye magumu akarudi kuomba msamaha nikamsamehe. Baadae nilikuja gundua kampa mimba kabinti kadogo yaan kuliko hata mimi kipindi hicho nikaondoka mazima hadi leo.
Dah !Pole Sana, hapo Lazima ujiulize kwako alikua anakosa Nini.

Usikute ulkua unamnyima, unataka mpaka ndoa[emoji4]
 
Hamjakumbushia kidg, maana wee nae ushakua Ni bazazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…