Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Nyama moja ya kimburu. Nilipata kwa zari la mentali kipindi nikiwa sijawahi gegeda demu kipindi nimetoka primary naingia secondary. Dada yake alimleta akamtambulisha kwangu na binti akanielewa.
Sikuomba mchezo yeye ndie aliomba. Mwanzoni nikahisi ananidanganya kuwa yeye bikra maana bikra huwa hawaombi mchezo ila nikaja kujiridhisha baada ya show ya kwanza.
So ikawa neema hadi alipoanza machepele yake. Balaa lilianza alipokuwa akiishi alianza mahusiano na blaza m'moja age kama 35 hivi kipindi hicho alikuwa mfanyabiashara so akawa anamrubuni kwa kumuonyesha vibunda vya hela na zawadi ndogo ndogo.
Yule Pimbi akanipa kubwa siku tumekutana kuwa mimi mwanafunzi bado so tunapotezana muda. Nimalize shule nitapata mke wa maisha yangu yeye hakuwa halali yangu kutoka kwa MUNGU. Ile siku niliumia sana. Maana nilipata kwa mara ya kwanza chungu ya moyo ya mapenzi.
Ila ndani ya moyo sikukata tamaa nikaendelea kuwa na hope kuwa pengine amevuta bangi ndio zinambangua.
Tukapotezana kama mwaka tukakutana tena safari hii akiwa mjamzito wa miezi kadhaa karibia kujifungua. Dah nilipata shoti moja kali sana ya ndani kwa ndani hadi ikaunguza fuse ya upendo kwake nikasema famililahi.... Dunia ni ya duara....inazunguka kila siku..... nenda mwana kwenda...... utakwenda utarudi tena utanitokea kwa nyuma utanikuta hapa hapa uliponiacha kwa ukatili wa hali ya juu mbwa wewe.
So nikapiga moyo konde life ikaendelea. Fast-forward leo hii. Alirejea miaka ya baadae kabla ya leo hii akanitafuta na kunisimulia habari za mifarakano kwenye uhusiano wake.
Inaonekana jamaa alikuwa na wivu,akawa na wanawake wengine, vipigo, plus binti alilala na mtu mwingine alipopata ujauzito wa mtoto wa pili jamaa akashtuka kuwa amebambikiwa safari hii maana hakuelewa elewa mazingira ya huo ujauzito kutunga akambalasa akarudi kwao Endasaki.
Nilishamleta Dar akaja kwangu na kutubu sana akinitengenezea mazingira kuwa yupo tayari kulianzisha tena na mimi kuwa this time amekoma na amejifunza na kuelewa umuhimu wa mapenzi ya kweli na atatumikia adhabu yoyote nitayompa kwa ukatili alinifanyia.
Nikampanga kuwa nimekubali ombi lake ila anipe muda kwanza niweke mambo sawa. Aliponiuliza mambo gani nikamwambia siri yangu siwezi kumwambia lolote kwa sasa maana siamini mwanamke kwa sasa so siwezi mwambia kitu akakubali bila ubishi. Yupo huko mkoa anasubiria maamuzi yangu mwaka wa nne huu.
Shenzi. Naanzaje mechi na goli mbili tena za kujitakia. Asubirie hadi uzee umkute.....