Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Sasa huko kwa majirani ulikuwa unawaomba chakula au ulikuwa unapiga chabo wakitenga chakula tuu unatia timu?Mda mwingine unaona njaa itaniua unaamua kugusa gusa (kula) kwa majirani, baada ya hapo masimango ya kuwa "mpaka hapo ulipofikia bila sisi ungekuwa umeshakufa uwe unatushukuru kila kukicha[emoji51]" na kadhalika.
Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
inategemea wakati gani kama ana sherehe au kipindk cha sikukuu kakupa muhariko unaweza kwenda kulaKwanini ule kwa jirani sasa?
Kwanini usile nyumbani kwako?
TAPETAKuna jamaa alikua anapenda sanaa ubwabwa... Na hajui kutafuta hela pia ana mke na watoto kama watano hivi...
Nyumbani kwake alikua anaacha unga na maharage au mboga za majani..
Sasa jirani yake mmoja alikua single mama na biashara zake za kuuza mchele... Kwahiyo jamaa alikua anatabia za kumvizia akitoka kwenye biashara anampokea mzigo then anazama ndani kusubiri ubwabwa uive als aende kwake...
Kuna siku yule mama baada ya kula chakula akafunga mlango akamwambia umezoea kula vyakwangu bure sasa ni zamu yako kuchakata mbususu hii.... Shida jamaa alikua mlokole wacha aanze kupiga kelele majirani njoeni hahaha..
Majirani nao wakamwambia umezoea kula ubwabwa wa bure haya chakata hiyo mbususu sasa hakuna cha bure... Basi ikawa fedheha kwa jamaa mtaa mzima...
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kupigika mkuu si kwa kupendaKwanini ule kwa jirani sasa?
Kwanini usile nyumbani kwako?
Msibani kulaWengine tunaogopa kurogwa
Hata msibani sasa hatuli maana mlituogopesha na ule uzi.
Ugomvi huo sasaUtaje hapa niupitie
Misibani nakunywa maji tuu, msosi napokea baadae nawapa watu.Msibani kula
Usipokula na wewe kwenye msiba wako hali mtu