Nini kilikufanya ukaacha ajira ya serikalini ukaingia sekta binafsi?

Kwa hilo Mkuu nakuunga mkono kufanya maamuzi hayo.
 
Kama Una dreams kubwa serikalini ni sehemu ya kwenda kuchukua MTAJI na kurudi kuendelea na harakati zako.

Is kidding to believe that you gonna make rich in someone's else office.
Hicho ndicho nakiona mkuu. No way unaweza ukafanya maendeleo makubwa kwa 9-5 Job
 
kiongozi nipe ideas una fanya biashara gani ...na mm nipe hata ka idea
 
Biashara niliayoamua kuifanya ni kutoa huduma ambayo niliona ni changamoto kulingana na eneo nililopo...niamini mm kuna fursa ambazo hazipo katk mfumo rasmi mtaani na watu wengi hasa wasomi huzichukulia poa na wanapitwa kwa kuwa huziradhau na sio hadhi zao.... na zipo nakwambia ongea na watu upate vitu nanusidhau mtu..nikupe ushuhuda kidogo nilikuwa natamani sana kuingia katk siasa na sikuwa najua wapi nianzie nilikamilisha process zote ila nilihitaji mtu mmoja tu kunipa kuongozo wapi nianzie ili nifikie ndoto yangu huwezi amini mtu aliyenifanikisha nia yangu nilyoikatia tamaa kwa mwaka mzima ni boda boda aliyenipakiza kama abiria nilifanikisha nia yangu kwa namna hiyo ni katika kuongea ongea nikagundua anaweza kuwa msaada nikafanikiwa .mm ni mtu nisiyepitwa na fursa nikiskia tu lazima niifatilie kwa namna yyte ile as long as as inamaslahi kwangu ... nyumbani kwangu nafuga na ninamiti ya matunda pia ni pesa hiyo msimu wake napiga pesa ...na mm si kwamba sikusoma am degree holder mkuu
 
Kama Una dreams kubwa serikalini ni sehemu ya kwenda kuchukua MTAJI na kurudi kuendelea na harakati zako.
Is kidding to believe that you gonna make rich in someone's else office.
Angalia vizuri title ya uzi. Ni ajira serikalini vs ajira sekta binafsi. Haijasema ajira serikalini vs ajira binafsi.
 
Haujataja fursa hata moja isiyo ktk mfumo rasmi mtaani au ile uifanyayo badala yake umeenda kutumwaga kwenye siasa, mkuu mbona hivyo?
 
Haujataja fursa hata moja isiyo ktk mfumo rasmi mtaani au ile uifanyayo badala yake umeenda kutumwaga kwenye siasa, mkuu mbona hivyo?
Tumia fikra zako vizuri ...anglia unaweza kufanya nn ktk eneo lako litakalokuketea matokeo chanya..naweza kushauri ununue korosho kwa wakulima upeleke vyama vya ushirika kumbu upo katavi huko unatakiwa ulime mahindi upeleke Kenya ..km huna hobby na siasa sio lazma ufanye maish ni kupanga ushap wako mtaani ndo kufanikiwa kwako km huoni fursa rudi jifunike blanketi lala mkuu si lazima uamke saa hii maisha yana formula nyingi sana si lazma utumie zangu
 
Yeye alitaka umtajie kila kitu ili akacopy na kupaste😁😁.... Ujasiriamali sio kucopy idea ya mtu ni uwezo wa kuziona fursa katika eneo lako na kuzifanyia kazi ziweze kukupa mafanikio.
 
Yeye alitaka umtajie kila kitu ila akacopy na kupaste😁😁.... Ujasiriamali sio kucopy idea ya mtu ni uwezo wa kuziona fursa katika eneo lako na kuzifanyia kazi ziweze kukupa mafanikio.
Mvivu wa kufikiri muache asubir kudigestiwa kila kitu spoon feeder huwa wagumu kuchakata mambo, hawa ndo wakipewa mitaji wanakula faida na mitaji wanarudi kulalamika hapa JF..na ndo hawa hawa wanaishi karibu na shule ya hawezi funga ice ream akauza anaona aibuna hapo hana shughuli yoyote mtaani ya kumuingizia pesa..asojua maana haaimbiwi maaana
 
Kiukweli fursa zipo nyingi changamoto kubwa ni mitaji lakini tofauti na hivyo watu tungekuwa mbali kiuchumi
 
Njoo
Njoo inbox mkuu nikupe maushauri
 
Degree holder unapewa mchongo wa siasa na Bodaboda asiyejua hata kunawa uso?

Ulikuwa unataka kuwa chawa tu huna lolote.
 
Degree holder unapewa mchongo wa siasa na Bodaboda asiyejua hata kunawa uso?

Ulikuwa unataka kuwa chawa tu huna lolote.
Sjui umenisoma vizuri nilichoandika...when i have passion nakitu haijalishi nani ataniongoza kufikia lengo as long as nia yangu imetimia kwangu sio shida,rejea story ya Yusuf mnyweshaji ndie aliyesabaisha katoka gerezani..story ya Musa pia aliokolewa na mjakazi wa binti mfalme ..sina dharau na watu wa kipato cha chini hata hao boda boda ni watu pia na ukute si ajabu wanakuzidi maendeleo wewe mpaka wazazi wako..hizo dharauna kuwaona wenzenu kama takataka ndo zinawaponza,kwa taarifa yako mlinzi anaweza kukusaidia kuonana na bosi na PS akazingua.. Pona huo ubaguzi uache kulala kwa shemeji yako jitegeme siku dada ako akifukuzwa utalalwa wewe shauri yako
 
Yote hayo ni majaliwa na inategemea serikali sekta gani, local government au central. Hakuna usawa. Kuna waliopo huko wamechoka wamechakaa. Serikalini wanafanya watu waoga wa maisha, wavivu, wasioweza kurisk na wasio na discipline.
 
Nilipata kazi, nalipwa USD, 3500 kabla ya extras nyingine, safari za nje ya nchi, training, exposure, alafu mkataba wa miaka mi3 baada ya probation. Nikaaga ulalahoi.
 
Nchi hii imefunguka karibia sehemu zote; hamishia familia ulipo, mkeo mfungulie mkeo mradi maisha yasonge.
Nahisi mkeo hatqki kuhama mjini, ila gharama za kukaa mjini ni juu yako, wala si mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…