Nini kilikufanya upoteze hisia/mapenzi kwa mtu mliependana sana?

Nini kilikufanya upoteze hisia/mapenzi kwa mtu mliependana sana?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Natumaini hamjambo wana MMU

Twende kwenye mada moja kwa moja.
Je ni nini kilikufanya upoteze hisia/mapenzi kwa mtu mliependana sana?
 
Alipata mimba basdae akaanza kutumia mtoto kama kitega uchumi...nikaona isiwe tabu, nika mute, akasema mtoto sitamuona na kwangu hata kwa bibi na babu yake hato kanyaga nkasema fine, acha iwe hivyo. Mungu ndio mpajii na mpangaji itajulikana mbele ya safari.
Japo hela ya kujifungua nilitoa mm tena bugando m.c kama laki tatu..na mimi ndie nilizuia asitoe mimba sababu nje na hapo alikuwa na matatizo chungu nzima ya kiafya. Acha alee mtoto ila asisahau kuwa alitaka kumuua akiwa bado tumboni.
Mungu atajibu kwa hilo alilofanya.
 
Mie alipoleta story za oh mzabzab unajua unatakiwa kumpenda mtoto wangu kuliko ata mie....nikaoma huyu sasa kachanganyikiwa. Mie nimekulenda wewe kama wewe na mbususu yako.
Ukipenda boga penda na ua lake ubinafsi tu..mtizame
 
Nipende ua lake ndio lakini sio kwamba sasa nimlende mtoto kuliko yeye. Huo ni uongo
Najua Hilo haliwezekani lakini ukute alikua anakupima imani aone utarespond vipi..
 
Sasa kwa nyie bila kudanganywa kuna utulivu ndani ya nyumba? Ata mbusush yenyewe kupewa bila uongo ni ngumu
😂😂😂😂Ila si kwa uongo wa yule Kaka🤣🤣
 
Back
Top Bottom