Nini kilikufanya upoteze hisia/mapenzi kwa mtu mliependana sana?

Nini kilikufanya upoteze hisia/mapenzi kwa mtu mliependana sana?

Unajua mtu kila mkigegedana mnapata raha ...baadae mkiwa kwenye maongezi mengine the same thing keeps coming up unakosa raha bwana. Mwishoe yeye mwenyewe alinotice sipo happy tena kwenye hayo mahusiano...so tukakubaliana tuu mwisho umefika
Sawa mkuu
 
Alivyo jua nampenda sana alini sumbua .ila alicho kosea ni kusahau akili ya mtu uishi kwa kujifunza kibao kilivyo geuka haamini adi leo kama ni mimi yule ...View attachment 2172684

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi hujisahau Sana kwenye Ili, akijua unampenda Sana basi anahisi ata afanye vituko gani basi wewe utabaki tu pale. Ogopa Sana mtu mkimya, ambaye anajua kwmba apa unaongopa, apa umefanya iki alfu hasemi kitu, anaendelea kukuonyesha upendo tu. Siku akigeuka hutaamini na macho Yako [emoji16]
 
Sipendi uongo, dharau, ubinafsi. Kutokuwa mkweli kama umechange basi elezea Kuna tatizo 1, 2 ,3 nikae nikijua kuwa Yale mazoea ya zamani yamepungua sbb ya kitu fulani. Lakini si unachange alafu upo bize tu, aisee ipo siku nakupiga kitu kizito kichwani hutaamini.
 
[emoji2]
 
Back
Top Bottom