Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mie alipoleta story za oh mzabzab unajua unatakiwa kumpenda mtoto wangu kuliko ata mie....nikaoma huyu sasa kachanganyikiwa. Mie nimekulenda wewe kama wewe na mbususu yako.
Nipende ua lake ndio lakini sio kwamba sasa nimlende mtoto kuliko yeye. Huo ni uongo
Hizo "nimekulenda" na "nimlende" zimekukosea nini leo?
Mbona unazitumia ndivyo sivyo