Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
- Thread starter
-
- #41
Sawa mkuuUnajua mtu kila mkigegedana mnapata raha ...baadae mkiwa kwenye maongezi mengine the same thing keeps coming up unakosa raha bwana. Mwishoe yeye mwenyewe alinotice sipo happy tena kwenye hayo mahusiano...so tukakubaliana tuu mwisho umefika
[emoji2]Poleni sana... Hayanaga muongozo...
Wivu ndio mapenz lakin [emoji848]Kutii amri zake bila shuruti yaani akiongea yeye utekeleze na wivu ulio kidhiri.
One love buda [emoji847]Eeeeeh mbna povu mzee , ye mwenyewe anajua namtania
Watu wengi hujisahau Sana kwenye Ili, akijua unampenda Sana basi anahisi ata afanye vituko gani basi wewe utabaki tu pale. Ogopa Sana mtu mkimya, ambaye anajua kwmba apa unaongopa, apa umefanya iki alfu hasemi kitu, anaendelea kukuonyesha upendo tu. Siku akigeuka hutaamini na macho Yako [emoji16]Alivyo jua nampenda sana alini sumbua .ila alicho kosea ni kusahau akili ya mtu uishi kwa kujifunza kibao kilivyo geuka haamini adi leo kama ni mimi yule ...View attachment 2172684
Sent using Jamii Forums mobile app
bora kuuziwa mbuz kwenye gunia kulko kuuziwa gunia halina mbuz[emoji23]Muoaji kauziwa mbuzi kwenye gunia
[emoji2]Sipendi uongo, dharau, ubinafsi. Kutokuwa mkweli kama umechange basi elezea Kuna tatizo 1, 2 ,3 nikae nikijua kuwa Yale mazoea ya zamani yamepungua sbb ya kitu fulani. Lakini si unachange alafu upo bize tu, aisee ipo siku nakupiga kitu kizito kichwani hutaamini.
[emoji2][emoji2]bora kuuziwa mbuz kwenye gunia kulko kuuziwa gunia halina mbuz[emoji23]
[emoji16] mambo mengine ni kujiongeza tuu[emoji2]