Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana waibe ibe tu hivyo hivyo....waruhusu waoe
unaweza kumvulia padre Pichu??Na wanapiga pia tunda la mti wa mema na mabaya
Sijui kama naweza naomba namba za padre hilary nijaribu kama ntawezaunaweza kumvulia padre Pichu??
bahatMkuu, Padre Hilary jina lake la pili ni nani? Ata herufi ya kwanza tu.
Nimeshapata majibuSijui kama naweza naomba namba za padre hilary nijaribu kama ntaweza
Okay sio huyu nnae mjua.bahat
sawa mkuuOkay sio huyu nnae mjua.
walishakupiga...?Na wanapiga pia tunda la mti wa mema na mabaya
Ila watu wanaoachaga upadri akili zinakuaga vipi sijui, kama vile madishi yanayumba....kama kina Deo hiviNimeshapata majibu
Badowalishakupiga...?
umejuaje sasaBado
Nlisimuliwa na bibi anguumejuaje sasa
mbona mimi sijayumba niko fresh tu ila ibadani ndio nimeacha kwenda kabisaIla watu wanaoachaga upadri akili zinakuaga vipi sijui, kama vile madishi yanayumba....kama kina Deo hivi
www.jamiiforums.com
We uliacha zamani huko uliacha ukiwa ndotonimbona mimi sijayumba niko fresh tu ila ibadani ndio nimeacha kwenda kabisa
Wale wanaofunga nadhiri kabisa wanawehukaWe uliacha zamani huko uliacha ukiwa ndotoni
Bibi yako?Nlisimuliwa na bibi angu
Yeee babaBibi yako?
nimewaogopaYeee baba