Mpondoshilla
Member
- Jul 4, 2022
- 36
- 132
Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi
Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe
Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia funguo na kuiwasha kisha nikaanza kuivutia wese taaratibu,
Kilichonifanya nilete uzi huu ni pale nilipoizima gari funguo ikagoma kuchomoka nilikaa asubuhi mpaka jioni nahangaika bila mafanikio dakika za mwisho niliona sehemu kuna kabatani nilipo kabonyeza tu nikavuta funguo ikatoka nilijuta sana siku hiyo
Sijawahi rudia tena hii michezo ya kujifanya mjuaji