Nini kilikutokea baada ya kujifanya mjuaji kwenye kitu usichokijua

Siku hiyo babu akachelewa kukamua mida ya jioni nikaona si mbaya nikimsaidia. Badala ya kuchuchumaa pembeni mwa mguu wa nyuma mi nikachuchumaa nyuma kabisa. Ile navuta chuchu mara ya tatu nilipigwa teke jagi likaruka juu ya Bati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], haukufunga kamba miguu huyo ng'ombe? Angekuua, lol
 
Siku zote nawasikia watu wanasema battery zikiisha chaji wewe zidumbikize chooni (namaanisha vyoo vya shimo) mimi si ndio nikadumbukiza battery ili zichajiwe, nimesubiri kama dakika kumi nikajiambia hapa tayari ngoja nikazitoe. Nikainamisha kichwa ili kuziibua battery kwenye Mavi kwa bahati mbaya nikateleza nikadumbukia chooni, mpaka wanakuja kunitoa mwili wote umejaa Mavi
Pole harufu,Hadi nimecheka
 
Haaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom