Nini kilikuvutia na kukufanya uanze Computer Programming (CODING)

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses,

Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo.

Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni nini kilikufanya uingie kwenye fani hio.

Binafsi nilivutiwa na movie fulani hivi ya zamani sana nmeshasahau hata jina lakini nakumbuka kuna programmer mmoja kwenye hio movie aliitwa ku-takeover control za submarine ya kigaidi. Alihangaika sana kupata password lkn mwisho wa siku baada ya kufanya mbinu zote zikashindikana akakuta password ilikuwa ni jina alilotumia chuoni.

Pia nilivutiwa na kutengeneza games baada ya kujiuliza sana games kama Super Mario na brick games zilitengenezwaje?

Kuna coders wengi pia wamekiri kuvutiwa na video games na mwisho wa siku wakajikuta wanafanya coding kama vile Elon Musk, Mark Zuck, etc...

Je, wewe ni nini kinakufanya au kilikufanya upende coding, hacking au maswala ya IT mengineyo?
 
Dha, umenikumbusa mbali sana aise. Kwangu ilikua ivi Tokea nikiwa mdogo mpaka nilipofika form 2 malengo yangu yalikua nije we financial analyst (Mtua anayechambua financial data).

sasa baada ya kumaliza form 2, form 3 nikajiunga na masoma ya biashara (bookkeeping & Commerce ) ili nije niwe financial analyst. nikiwa nipo form three matokeo ya mwezi wa nne ( Ile mitihani ya likizo ya pasaka) nilikua nimeongoza matokeo ya math nimekua wakwanza nakumbuka Cybergates mjuba niliwaburuza vibonde wangu, nilivyo rudi nyumbani likizo na list ya matokeo ya ile Qtr, home wali enjoy kinoma kwa sababu nilikua position ya juu sana darasan pia ukiangalia sisi tuio bahatika kusoma hizi shule zetu "mabasi ya njano". Home wakaja ninunulia cm ya Nokia asha C3 (sikumbuki vizuri kama jina ndo hilo ila ilikua kubwa kubwa).

sasa baada ya kupata ile nokia nikaanza kutumia google(Nakumbuka kipindi hicho voda ya jero unapata Mb 25 ivi na dk kadhaa). sasa nakumbuka nilikosea google. nili open google alfa baadala ya ku search nikaandika google kwenye search bar ya google sasa link ya kwanza ilikua ya Google wikipedia, nivyo fungua ile page ya wiki ikaniletea article ya google Inc, Kusema ukweli google ilinivutia sana kuanzia kampun had product zao.

Baada yapo nikaanza ku kusoma kuhusu google product labda nasoma leo kuhusu gmail kesho gmap etc. Baada ya mda nikaja kujua kuna kitu kinaitwa sijui computer programming. so likizo ya April ikaisha. nekarudi shule mwezi wa sita likizo nikaendelea.

sasa wezi wa sita nilivyorudi nikaanza ku google kuhusu computer programming course, nikakuta chuo DIT kinatoa hii course,kusoma qualification nikakuta most ni watu walio soma science o-level na mm nasoma biashara, kikaongea na academic master nikamuuliza kuhusu kubadilisha nitoke biashara niende science akaniambia haiwezekani mdaumesha enda shana.

kuanzia form three hadi form four kuna mambo mengi sana hapa katikati yalitokea mpaka leo Najivunia kuwa software engineer.

Kwangu mm google ndo ili ni empress.

kwa mara ya kwanza hizindo code zangu kwenye programming

HTML ya kwanza
HTML:
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
    <title>sample two</title>
    <link href="home.css" rel="stylesheet" type="text/css">
      <link href="font-awesome.css" rel="stylesheet"  type="text/css"/>

</head>
<body>
    <header>
        <div class="row">
            <div class="logo">
                <img src="log.jpg">

            <ul class=" main-nav">
                <li class="active"><a href=""> HOME </a></li>
                <li><a href="#"><i class=" fa fa-bar-chart-o">MAIN </i></a></li>
                <li><a href="#"> CHAT </a></li>
                <li><a href="#"> MAP</a></li>
                <li><a href="#"> EMAIL </a></li>
                <li><a href="#"> FAQ </a></li>
            </ul>
    </div>
    <div class="hero">
               <h1><i class="fa fa-angle-right"></i> Advanced Form Components</h1>

            <a href="" class="btn btn-one">watch video</a>
            <a href="" class="btn btn-two">exlore more</a>

    </div>
    </header>
</body>
</html>

CSS ya Kwanza

CSS:
*
{
    margin: 0px;
    padding: 0px;
}

header
{
    background-image:url(back.jpg);
    height: 100vh;
    background-size: cover;
    background-position: center;
}
.main-nav
{
    float: right;
    list-style: none;
    margin-top: 30px;
}

.main-nav li
{
    display: inline-block;
}
.main-nav li a
{
    color: white;
    text-decoration: none;
    padding: 5px 20px;
    font-family: "roboto", sans-serif;
    font-size: 15px;
}
.main-nav li.active a
{
    border: 1px solid white;
}
.main-nav li a:hover
{
    border: 1px solid white;
}
.logo img
{
    width: 100px;
    height: auto;
    float: left;
}

body
{
    font-family: monospace;
}

.hero
{
    position: absolute;
    width: 1200px;
    margin-left: 0px;
    margin-top: 0px
}

h1
{
    color: white;
    text-transform: uppercase;
    font-size: 70px;
    text-align: center;
    margin-top: 275px;
}

.button
{
    margin-top: 30px;
    margin-left: 440px;
}

.btn
{
    border: 1px solid white;
    padding: 10px 30px;
    color: white;
    text-decoration: none;
    margin-right: 5px;
    font-size: 13px;
    text-transform: uppercase;
}
.btn-one
{
    background-color: darkorange;
    font-family: "roboto", sans-serif;

}

.btn-two
{
    font-family: "roboto", darkorange;

}

.btn-two:hover
{
    background-color: darkorange;
    transform: all 0.5s ease-in;

}

Itakote ivi

Screenshot (615).png
 
View attachment 1463800
Safi sana mkuu
 
aisee, nilikua fanatic wa electrical engineering, nilivutiwa sana na PLC , nikaanza programming zake , language nilianza na Mnemonics, SFC then Ladder Logic

nikazama zaidi kwenye ulimwengu wa micro controllers, akina PIC, AVR, ARM

nilianza na Assembly, then plain C, then C++

nikaamia kwenye izi 'IoT based micro controllers' ie: Expressif ESP8266 ESP32, Raspberry Pi, Orange and Banana Pi,

hapa bila kupenda nikalazimika kukava JS,PHP na wenzake

na sasa ni mwendo wa mtelezo tu mpaka makka
 
currently working on this

View attachment 1464100
Haaahaaa we jamaa itakua unaandikia mkono wa kushoto coz kuanza na assembly af plain C kabla ya JS na PHP inahitaji moyo na uvumilivu wa ajabu la sivyo utachukia coding maisha yote
 
Nilianza kupenda computers mwaka 2004 nikiwa primary baada ya kufanikiwa ku-bypass TimeWatcher kwenye cafe moja ivi tukiwa tunacheza game [emoji28]
 
Enzi za timewatcher haaahaaaa.
 
Hello bosses,

Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo.

Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni nini kilikufanya uingie kwenye fani hio.

Binafsi nilivutiwa na movie fulani hivi ya zamani sana nmeshasahau hata jina lakini nakumbuka kuna programmer mmoja kwenye hio movie aliitwa ku-takeover control za submarine ya kigaidi. Alihangaika sana kupata password lkn mwisho wa siku baada ya kufanya mbinu zote zikashindikana akakuta password ilikuwa ni jina alilotumia chuoni.

Pia nilivutiwa na kutengeneza games baada ya kujiuliza sana games kama Super Mario na brick games zilitengenezwaje?

Kuna coders wengi pia wamekiri kuvutiwa na video games na mwisho wa siku wakajikuta wanafanya coding kama vile Elon Musk, Mark Zuck, etc...

Je, wewe ni nini kinakufanya au kilikufanya upende coding, hacking au maswala ya IT mengineyo?
Naipenda IT Baada ya nyumbani mwaka 2007 ililetw kompyuta na nikaharibu kwa kuweka flsh hovyo nakumbuka anti virus ilikua smadav aiseee[emoji23][emoji23][emoji23] nilipigwa ila Baada ya siku kadha nikaanza kuifungua fungua na kuanza kumuangalia huyo virus nikazan Yuko kha mende kumbe nonsense daaaa mpak leo nimekuwa professional kias najivunia kuisoma IT na naipenda kujifunza zaidi
 
Haahaaa, Fantastic!
 
haha nikazani kwa sasa unafanya malware analysis
 
Mdau nasikia washakaji humu wanakushutumu wewe ni tapeli kwenye Zile mishe za connect guru tunnel. Hasa upande wa streaming.
Wadau washaanza kukuogopa.
miyayusho anaesema ivo yeye sjui yupo bush alaf anategmea speed nzur kama zipo slow wadau wengine pia wangetoa shutuma
 
aisee, nilikua fanatic wa electrical engineering, nilivutiwa sana na PLC , nikaanza programming zake , language nilianza na Mnemonics, SFC then Ladder Logic

nikazama zaidi kwenye ulimwengu wa micro controllers, akina PIC, AVR, ARM

nilianza na Assembly, then plain C, then C++

nikaamia kwenye izi 'IoT based micro controllers' ie: Expressif ESP8266 ESP32, Raspberry Pi, Orange and Banana Pi,

hapa bila kupenda nikalazimika kukava JS,PHP na wenzake

na sasa ni mwendo wa mtelezo tu mpaka makka

currently working on this

View attachment 1464100

Umeajiriwa?
 
Back
Top Bottom