Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Waone haya halafu wakale wapi!Maana siku hizi wanakamua mpaka basi, halafu wala hawajistukii na kuona haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waone haya halafu wakale wapi!Maana siku hizi wanakamua mpaka basi, halafu wala hawajistukii na kuona haya!
Thread zingine huwa ni za kipuuzi. Mambo ya imani yaache katika imani. Ukiyaleta katika uhalisia wako wa kibinadamu utafeliYesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao. Aliwakuta jamaa wakinapetro ni wakokozi na wavuvi nguli akawaambia waache alafu wamfuate.
Kulisha breakfast, lunch na dinner wanaume 12 wasio na Kazi miaka mitatu mfululizo inabidi Uwe na Pesa. Ushahidi Baada ya kufa Petro aliwashawishi warudi kwenye Biashara zao.
3: Hakuna kifungu Yesu kaishiwa Pesa au kashindwa kufanya muamala wowote kisha hana salio. Aliwahi kudaiwa kodi ya hekalu, akamtuma Petro akavue samaki aliyekuwa na Pesa tumboni.
4: Muhasibu wake alikuwa mwizi na mwenye uchu wa Pesa. Huku tunaona makampuni maduka Yenye wahasibu wezi huwa yanafirisika. Yuda hakuwahi kufirisi mkoba wa pesa za mwalimu wake Yesu.
Wakuu Yesu alikuwa yuko vzr kiuchumi.
Sasa najiuliza nini nilikuwa chanzo chake cha fedha ikiwa
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?
Kila unachokiona kwenye uhalisia kinaanzia kwenye imani.Thread zingine huwa ni za kipuuzi. Mambo ya imani yaache katika imani. Ukiyaleta katika uhalisia wako wa kibinadamu utafeli
Hata sijui,ila nachojua YUDA ISCARIOT ndo alikuwa mtunza fedha (accountant)Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao. Aliwakuta jamaa wakinapetro ni wakokozi na wavuvi nguli akawaambia waache alafu wamfuate.
Kulisha breakfast, lunch na dinner wanaume 12 wasio na Kazi miaka mitatu mfululizo inabidi Uwe na Pesa. Ushahidi Baada ya kufa Petro aliwashawishi warudi kwenye Biashara zao.
3: Hakuna kifungu Yesu kaishiwa Pesa au kashindwa kufanya muamala wowote kisha hana salio. Aliwahi kudaiwa kodi ya hekalu, akamtuma Petro akavue samaki aliyekuwa na Pesa tumboni.
4: Muhasibu wake alikuwa mwizi na mwenye uchu wa Pesa. Huku tunaona makampuni maduka Yenye wahasibu wezi huwa yanafirisika. Yuda hakuwahi kufirisi mkoba wa pesa za mwalimu wake Yesu.
Wakuu Yesu alikuwa yuko vzr kiuchumi.
Sasa najiuliza nini nilikuwa chanzo chake cha fedha ikiwa
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?
Duh..hii nilicomment mm??Yesu alikuwa na akunti nmb..kila akibeti ela anayoshinda anaweka huko
Umejigunduwa ulikuwa boya?Duh..hii nilicomment mm??