Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

2 Corinthians 8:2
[2]They have been severely tested by the troubles they went through; but their joy was so great that they were extremely generous in their giving, even though they are very poor.

2 Corinthians 8:9
[9]You know the grace of our Lord Jesus Christ; rich as he was, he made himself poor for your sake, in order to make you rich by means of his poverty.

Mtume Paulo ambaye alirithi kazi ya Yesu ya kuhubiri Injili, alitokea kuwapenda sana watu wa huko Macedonia ambako alianzisha kanisa huko. Watu hawa walikuwa na ukarimu sana. Na Yesu alikuwa akihubiri sana juu ya utoaji, hivyo chanzo kikuu cha mapato ni michango ya watu huko alikokuwa akihubiri. Tunakumbuka Zakayo mtoza ushuru alipopanda juu ya mti ili tu apate kumuona Yesu, na alipomuona Yesu, alisema leo tunakwenda kupata chakula katika nyumba yako. Na Zakayo ndiyo ikawa ukombozi wa nafsi yake, kwa kuokoka.
 
Thread zingine huwa ni za kipuuzi. Mambo ya imani yaache katika imani. Ukiyaleta katika uhalisia wako wa kibinadamu utafeli
 
Thread zingine huwa ni za kipuuzi. Mambo ya imani yaache katika imani. Ukiyaleta katika uhalisia wako wa kibinadamu utafeli
Kila unachokiona kwenye uhalisia kinaanzia kwenye imani.
Hata kula inahitaji imani. Maana unauhakika gani kuwa huko kinakoenda kitafanikisha malengo. Hakuna ushahidi ni imani
 
Hata sijui,ila nachojua YUDA ISCARIOT ndo alikuwa mtunza fedha (accountant)

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…