Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana.
Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule.
Yaani Halali au Haramu inategemeana imetendwa na nani. Mauaji ya watu kadhaa yamekuwa ni sehemu ya Utendaji wa watu flani miaka mingi kwa sasa.
Tusihalalishe uovu huu kwa kigezo chochote kile. Hawa watu waliuawa kwa sababu za kisiasa.
Nini kilikuwa chanzo cha mauaji yao?