Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
KATIBA haibadili tabia ya wanasiasa wa nchi maskini ya uchu wa madaraka, kwa kuwa wanasiasa wa nchi tajiri uchochea kukua kwa uchu huo ili wakingia madarakani nchi husika igeuzwe shamba la bibiUmeshasema waliuawa kwa sababu za kisiasa, unauliza chanzo ili iweje? Hata ukikijua utafanya Nini kwa sheria hizi zilizopo? PAZA SAUTI KATIBA MPYA NDO SULUHISHO
Inabadili tabia kukiwa na vifungu vya kuwawajibisha sivyo ilivyo Sasa mpaka spika ana kinga, waliotuletea ustaarabu wa demokrasia kwao rais anapandishwa mahakamani akikosea .KATIBA haibadili tabia ya wanasiasa wa nchi maskini ya uchu wa madaraka, kwa kuwa wanasiasa wa nchi tajiri uchochea kukua kwa uchu huo ili wakingia madarakani nchi husika igeuzwe shamba la bibi
Laana ya damu ya Ben Saanane imeanza kuwatafuna wote walioshiriki kuimwaga damu ile kikatili!Umenena maana nchi yetu ni rahisi mno case kuwa a cold one hasa kama hujawa political connected, nwenzetu Saanane ni kimya hadi leo na maisha yanaendelea na tunajifanya Saanane hakua na familia.
Njiti ndiye nani mkuu?Ila njiti amesumbua sana muda mrefu siku yake itafika
Vipi waliomuua Mvungi wao wako wapi?Laana ya damu ya Ben Saanane imeanza kuwatafuna wote walioshiriki kuimwaga damu ile kikatili!
Wengine ndio hivyo tena wako walishatangulia mbele ya haki na cha moto wanakiona!