Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

Waliuliwa Awamu ipi ? Ukipata jibu jiongoze!
 
Sababu ni ajali
 
JK ni kipenzi cha wana bavicha tena ni mwanademocrasia sana!
.
Ila jpm alikuwa muuaji sana!

Mabavicha hayana akili
Haya yote ni Mauaji yaliyotekelezwa na wana CCM. Wewe umewahi kupinga Mauaji yapi kati ya hayo au kwako wakiuawa wasio wana CCM ni sahihi?
 
Hilo tunakuachia wewe utujuze maana hurnda unazo fununu.
 
Ishu kubwa ni suala la katiba mpya ndio chanzo cha vifo vyao,siku zaja itapatikana yafaa wapewe tuzo ya heshima kama waasisi
 
Unanikumbusha Dr. Fupi aliyekua mkemia mkuu wa serikali. Aliyeuawa kwa sababu za msimamo wake wa kumkataa shetani na Mambo yake yote ikiwemo rushwa ili aende kinyume na anachokiamini.

Karma is a bitch. You can take this to the bank.
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…