Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Huko unakokwenda kwenye hadith hapa si pake kwani hajasemwa mtu mabaya yake.

Mohamed Said,

Umeongea neno zito, tafadhali tafakari kwa uzito wake.

Mimi ni kutoka bara hivyo neno Tanzia linaswihi ilmuradi tu wewe unajua kwamba huko pwani Taazia ni sawa na Tanzia, pia hapa tunazungumza kiswahili, sio Kiarabu.

Kuna, Tanzia, Tazia na Taazia, zote hizo ni sawa tu, hata katika kiingereza kuna maneno ya aina hiyo ambapo maana inabaki hivyohivyo licha ya kupungua au kubadilika herufi.
 
Mokaze,
Ni sawa hakuna tatizo.
 
Kwa tunaomjua Mohamed hii ndiyo janja yake, kukwepa mada na kutumbukiza mambo yasiyhusiana.
Hoja hapa ni je, Abdul Sykes ndiye aliyempokea Nyerere Dar es Saalam
Rejea bandiko # 4 na #6 mimi na Pascal Mayalla tukieleza Nyerere alivyokuja na kukanusha habari ya Mohamed. Kilichopaswa kufanywa na Mohamed ni kueleza upande wake akitetea hoja ambayo ameileta mwenyewe '' achilia mbali kwamba Abdul Sykes ndiye alimpokea Nyerere na kuishi naye....''
"Mohamed Said, post: 36185650, member: 12431"]
Paschal,Hayo uliyoleta hapa si maudhui niliyoandika.
Tazama Mohamed anavyofanya wasomaji mazuzu na watu wapumbavu. Hebu rejea bandiko lake kama hakusema hayo maneno.

Mohamed anajua wajanja watasema sema , wasioelewa watamwelewa hasa anapo durusu uongo mara 1000.

Kwa msiojua, tangu 2010 tunamueleza huu uongo ambao anajua ni uongo lakini pia anajua kupitia uongo huo na kuurudia anapata kundi na kulielekeza anapotaka kifikra, si mjinga anajua anachofanya.
Rejea kichwa cha habari la huamini haya niliyoandika kwangu si tatizo kwani kuna maelfu leo wameujua ukweli kupitia kalamu yangu.
Mohamed hatusomi vichwa vya habari, tunasoma maudhui na katika maudhui hatuchagui wewe unataka tusome nini.

Hapa unataka watu waache hoja ya Nyerere kupokelewa na Abdul kwavile unajua haikuwa hivyo, unatengeneza tu uongo na unaurudia sana kiasi cha kukaribia kuwa ukweli.
Ikiwa unataka tujadili TAA Tabora nifahamishe nikukutanishe na Sheikh Abdallah na Maulidi Kivuruga, Chamng'anda Usingizi walioasisi TAA Gongoni huko mwaka 1945.
Hapana hatuhitaji majina ya watu.

Hoja iliyopo ni kuwa, je, Abdul Sykes alimpokea Nyerere Dar es Salaam.
Hoja zangu na Pasco ndizo mjadala uliopo.Usitake kuondoa watu kwenye mada, uongo!
Nikukutanishe na babu yangu Salum Abdallah Popo na Bilali Rehani Waikela kwa kuwataja wachache na kwa akina mama nikufamishe kwa shangazi yangu Bi. Zarula bint Abdulrahmani.
Nani kaukuuliza haya? Unataka watu waondoke katika hoja ya uongo! Nyerere hakupokelewa na Abdul ingawa unadai hivyo na huwezi kutihibitisha. Hoja si wazee ni Nyerere na Abdul hasa ujio wa Nyerere Dar
Ipo Thesis (2019)nimetajwa mie pamoja na babu yangu Salum Abdallah katika ukurasa mmoja ukipenda nitakuwekea hapa.
Haya yanatoka wapi? Nani kaukuuliza haya?

Hoja ni moja tu, je, Abdul alimpokea Nyerere Dar es Salaam? Je, hoja za nguruvi na Pasco zina mapungufu yapi? Je, una ushahidi gani kwamba Abdul ndiye aliyempokea Nyerere?

Wanajamvi mnaweza kuona jinsi Mohamed anavyoweza kutunga uongo, kuuhadithia kwa nakshi na manemane akiupulizia ubani. Ni mtu anayeweza kupuliza udi uozo ukanukia jasmini.

Muulizeni kama Nyerere alipokelewa Dar na Abdul Sykes, kama hatawajibu huo ni sehemu ya uongo mwingi ambao kwa kutumia kipaji chake cha kueleza na kusimulia anaporudia mara saba sabin hugeuka kuwa ukweli.
 
Paschal,
Hao hapo Abdallah na Maulidi Kivuruga waasisi wa TAA Tabora 1945.

Hayo ya Nyerere ya 1948 hawa ndiyo waliomkaribisha kwenye chama yeye na Hamza Mwapachu.View attachment 1522279
Mohamed, sawa sawa kabisa. Hatuongelei uasisi wa TAA Tabora.
Tunaongelea suala moja, je, Abdul Sykes Kleist Mbuwane ndiye aliyempokea Nyerere Dar es Salaam?

Mohamed anajitahidi sana kutuondoa katika hoja, mara taazia, tanzia, tazia n.k. ikiwa ni jitihada za kusahaulisha
Sasa anawaleta akina Kivuruga, Chamng'anda n.k. kana kwamba walihusika na ujio wa Nyerere Dar es Salaam

Hayo anayafanya maksudi, tunaomjua hatuchuuziki wala hatupotezi focus, swali linabaki pale pale, je, Abdul Sykes ndiye alimpokea Nyerere Dar ? Ilikuwa mwaka gani na Nyerere akitokea wapi?

Wanajamvi msikubali awaondoe katika mada, mkikubali tu baada ya mwezi atarudi na uongo huo huo kama alivyofanya takribani miaka 10 sasa, tunamjua.

Je, Abdul Sykes alimpokea Nyerere Dar? Nyerere akitokea wapi? ndilo lililopo mezani
 
Kwa tunaomjua Mohamed hii ndiyo janja yake, kukwepa mada na kutumbukiza mambo yasiyhusiana.
Hoja hapa ni je, Abdul Sykes ndiye aliyempokea Nyerere Dar es Saalam
Rejea bandiko # 4 na #6 mimi na Pascal Mayalla tukieleza Nyerere alivyokuja na kukanusha habari ya Mohamed. Kilichopaswa kufanywa na Mohamed ni kueleza upande wake akitetea hoja ambayo ameileta mwenyewe '' achilia mbali kwamba Abdul Sykes ndiye alimpokea Nyerere na kuishi naye....''
Tazama Mohamed anavyofanya wasomaji mazuzu na watu wapumbavu. Hebu rejea bandiko lake kama hakusema hayo maneno.

Mohamed anajua wajanja watasema sema , wasioelewa watamwelewa hasa anapo durusu uongo mara 1000.

Kwa msiojua, tangu 2010 tunamueleza huu uongo ambao anajua ni uongo lakini pia anajua kupitia uongo huo na kuurudia anapata kundi na kulielekeza anapotaka kifikra, si mjinga anajua anachofanya.Mohamed hatusomi vichwa vya habari, tunasoma maudhui na katika maudhui hatuchagui wewe unataka tusome nini.

Hapa unataka watu waache hoja ya Nyerere kupokelewa na Abdul kwavile unajua haikuwa hivyo, unatengeneza tu uongo na unaurudia sana kiasi cha kukaribia kuwa ukweli.
Hapana hatuhitaji majina ya watu.

Hoja iliyopo ni kuwa, je, Abdul Sykes alimpokea Nyerere Dar es Salaam.
Hoja zangu na Pasco ndizo mjadala uliopo.Usitake kuondoa watu kwenye mada, uongo!Nani kaukuuliza haya? Unataka watu waondoke katika hoja ya uongo! Nyerere hakupokelewa na Abdul ingawa unadai hivyo na huwezi kutihibitisha. Hoja si wazee ni Nyerere na Abdul hasa ujio wa Nyerere Dar Haya yanatoka wapi? Nani kaukuuliza haya?

Hoja ni moja tu, je, Abdul alimpokea Nyerere Dar es Salaam? Je, hoja za nguruvi na Pasco zina mapungufu yapi? Je, una ushahidi gani kwamba Abdul ndiye aliyempokea Nyerere?

Wanajamvi mnaweza kuona jinsi Mohamed anavyoweza kutunga uongo, kuuhadithia kwa nakshi na manemane akiupulizia ubani. Ni mtu anayeweza kupuliza udi uozo ukanukia jasmini.

Muulizeni kama Nyerere alipokelewa Dar na Abdul Sykes, kama hatawajibu huo ni sehemu ya uongo mwingi ambao kwa kutumia kipaji chake cha kueleza na kusimulia anaporudia mara saba sabin hugeuka kuwa ukweli.
Nguruvi...
Nimekueleza siku nyingi sana kuwa njia bora ni kuandikwa kwa kitabu ambacho kinaweza kueleza hiyo historia nyingine ambayo nyinyi mnaona ndiyo ya kweli.

Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ng'waza Kamata kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wameandika Wasifu wa Julius Nyerere volumes tatu na mimi ni mmoja wa watu waliohojiwa kuhusu Mwalimu Nyerere.

Katika kitabu wanasema Nyerere alipokelewa na Ally Sykes na akakaa nyumbani kwake Mtaa wa Kipata kwa miezi mitatu.

Nakuomba hebu shughulika na hili kwani hili naona lina raha zaidi kuliko Nyerere kupokelewa na Abdul Sykes.

Unanidai ushahidi wa Nyerere kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes.
Nikikupa ushahidi wa baba yangu Salum Abdallah naamini utaukataa.

Soma kipande hiki alichoandika Aisha ''Daisy'' Sykes kutoka kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake:

‘’Nakumbuka katika akili yangu ya kitoto kumuona Mwalimu Nyerere akiishi nyumbani kwetu kwa muda katika nyumba yetu ya Mtaa wa Stanley baada ya kuacha kazi wakati marafiki zake wa karibu baba na Dossa Aziz walikuwa wanamtafutia nyumba ya kuishi.

Nyumba yetu ya Stanley kwa kuwa ilikuwa kwenye makutano ya barabara mbili ilikuwa na mjengo wa kipekee kwa nyakati zile.

Nyumba kubwa na yenye vyumba kadhaa ilikuwa upande wa Mtaa wa Stanely na upande wa Mtaa wa Sikukuu ilikuwa nyumba nyingine inayojitegemea ikiwa na sebule na chumba cha kulala hapo hapo.

Ingawa upande huu wa nyumba ilikuwa na nafasi ya kutosha ilikuwa vigumu kwa wanaume wawili wakubwa kuishi pamoja.

Baba yangu mdogo Abbas ambaye alikuwa akiishi kwenye nyumba ile ikabidi ahame aende kweye nyumba yetu nyingine Mtaa wa Kipata au ajibane nyumba kubwa ili Mwalimu Nyerere apate utulivu na faragha katika nyumba ile.’’

Hapo chini nimeweka nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyokuwa miaka ile ya 1950s ingawa picha hiyo nyumba imefanyiwa mabadiliko kidogo na picha nyingine nyumba hiyo kama ilivyo hivi sasa.
 
Attachments

  • NYUMBA YA ABDUL SYKES ALIYOISHI NA NYERERE 1955.jpg
    NYUMBA YA ABDUL SYKES ALIYOISHI NA NYERERE 1955.jpg
    72.5 KB · Views: 8
  • NYUMBA YA ABDUL SYKES ILIVYO SASA.jpg
    NYUMBA YA ABDUL SYKES ILIVYO SASA.jpg
    28.7 KB · Views: 9
The guy is a character. Huyo Skyes alikuwa Headmaster wa Pugu enzi hizo nini mpaka akampokea Kambarage huko. 😁
Yego...
Akiwa na ghadhabu mtu hawezi kufikiria vizuri.

Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan na kupokelewa na Abdul Sykes.
 
Kama mtu hajaelewa ulichoandika hapa atakuwa na makusudi yake.

Atakuwa kaamua kufanya ubishi wa simba na Yanga.

Mtoto wa Abdul anathibitisha Nyerere kukaa kwao. Mtu ambaye kaja Dar miaka ya Themanini na Tisini anabisha.

Nguruvi...
Nimekueleza siku nyingi sana kuwa njia bora ni kuandikwa kwa kitabu ambacho kinaweza kueleza hiyo historia nyingine ambayo nyinyi mnaona ndiyo ya kweli.

Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ng'waza Kamata kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wameandika Wasifu wa Julius Nyerere volumes tatu na mimi ni mmoja wa watu waliohojiwa kuhusu Mwalimu Nyerere.

Katika kitabu wanasema Nyerere alipokelewa na Ally Sykes na akakaa nyumbani kwake Mtaa wa Kipata kwa miezi mitatu.

Nakuomba hebu shughulika na hili kwani hili naona lina raha zaidi kuliko Nyerere kupokelewa na Abdul Sykes.

Unanidai ushahidi wa Nyerere kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes.
Nikikupa ushahidi wa baba yangu Salum Abdallah naamini utaukataa.

Soma kipande hiki alichoandika Aisha ''Daisy'' Sykes kutoka kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake:

‘’Nakumbuka katika akili yangu ya kitoto kumuona Mwalimu Nyerere akiishi nyumbani kwetu kwa muda katika nyumba yetu ya Mtaa wa Stanley baada ya kuacha kazi wakati marafiki zake wa karibu baba na Dossa Aziz walikuwa wanamtafutia nyumba ya kuishi.

Nyumba yetu ya Stanley kwa kuwa ilikuwa kwenye makutano ya barabara mbili ilikuwa na mjengo wa kipekee kwa nyakati zile.

Nyumba kubwa na yenye vyumba kadhaa ilikuwa upande wa Mtaa wa Stanely na upande wa Mtaa wa Sikukuu ilikuwa nyumba nyingine inayojitegemea ikiwa na sebule na chumba cha kulala hapo hapo.

Ingawa upande huu wa nyumba ilikuwa na nafasi ya kutosha ilikuwa vigumu kwa wanaume wawili wakubwa kuishi pamoja.

Baba yangu mdogo Abbas ambaye alikuwa akiishi kwenye nyumba ile ikabidi ahame aende kweye nyumba yetu nyingine Mtaa wa Kipata au ajibane nyumba kubwa ili Mwalimu Nyerere apate utulivu na faragha katika nyumba ile.’’

Hapo chini nimeweka nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyokuwa miaka ile ya 1950s ingawa picha hiyo nyumba imefanyiwa mabadiliko kidogo na picha nyingine nyumba hiyo kama ilivyo hivi sasa.
 
Yego...
Akiwa na ghadhabu mtu hawezi kufikiria vizuri.

Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan na kupokelewa na Abdul Sykes.

......................Kwamba akitoka Butiama kuja kusomesha Pugu na kurudi Butiama kila siku ama sijakuelewa?obviously kama alikuwa anafundisha Pugu ni dhahiri alikuwa mkazi wa kudumu wa Dar ili atumikie ajira aliyopewa ila malengo yalivyoenda mrama ndo akapata hifadhi kwa Abdul,simple tu kwa nini usiandike hivi?

Mbona unacheza cheza na maneno wakati wote kiswahili tunakijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu hajaelewa ulichoandika hapa atakuwa na makusudi yake.

Atakuwa kaamua kufanya ubishi wa simba na Yanga.

Mtoto wa Abdul anathibitisha Nyerere kukaa kwao. Mtu ambaye kaja Dar miaka ya Themanini na Tisini anabisha.
Sikiliza, Mohamed Said kabadilisha maneno na amefanya hivyo akijua atapata watu wasiosoma na kuelewa maandiko. Anapotosha makusudi kama anavoeneza uongo.

Nilichosema ni hivi, tunaomba ushahidi kwamba Nyerere alipokelewa na Abdul Sykes kuja Dar es Salaam.

Soma bandiko langu na la Pascal Mayala, tumeweka bayana kwamba Nyerere aliishi kwa Abdul Sykes baada ya kuacha kazi
 
......................Kwamba akitoka Butiama kuja kusomesha Pugu na kurudi Butiama kila siku ama sijakuelewa?obviously kama alikuwa anafundisha Pugu ni dhahiri alikuwa mkazi wa kudumu wa Dar ili atumikie ajira aliyopewa ila malengo yalivyoenda mrama ndo akapata hifadhi kwa Abdul,simple tu kwa nini usiandike hivi?

Mbona unacheza cheza na maneno wakati wote kiswahili tunakijua
Msome Mohamed katika bandiko alilonijibu. Bila kumungunya maneno amasema '' Prof Issa Shivji na Saida'' wameeleza Nyerere kupokelewa na Abdul Sykes.

Kumbuka huyu ni mwanahistoria ambaye miaka 10 iliyopita ameanisha umma kuwa Nyerere alipokelewa na Abdul. Baada ya kubanwa leo anasema kuna kitabu cha mwaka jana kinaeleza hivyo.
Kwa maneno mengine hakuwa na ushahidi wa Abdul kumpokea Mwalim Nyerere

Flatfoot! habari imekwisha. Sasa watu wanafahamu uongo unaonezwa na kurudiwa!
 
......................Kwamba akitoka Butiama kuja kusomesha Pugu na kurudi Butiama kila siku ama sijakuelewa?obviously kama alikuwa anafundisha Pugu ni dhahiri alikuwa mkazi wa kudumu wa Dar ili atumikie ajira aliyopewa ila malengo yalivyoenda mrama ndo akapata hifadhi kwa Abdul,simple tu kwa nini usiandike hivi?

Mbona unacheza cheza na maneno wakati wote kiswahili tunakijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sir...
Natambua hii historia jinsi inavyowachoma baadhi ya watu.

Ikiwa unaona kuwa kuishi Pugu ni sawa mtu kaishi Dar es Salaam Mtaa wa Stanley kwangu ni sawa.
 
Kama mtu hajaelewa ulichoandika hapa atakuwa na makusudi yake.

Atakuwa kaamua kufanya ubishi wa simba na Yanga.

Mtoto wa Abdul anathibitisha Nyerere kukaa kwao. Mtu ambaye kaja Dar miaka ya Themanini na Tisini anabisha.

Kama mtu hajaelewa ulichoandika hapa atakuwa na makusudi yake.

Atakuwa kaamua kufanya ubishi wa simba na Yanga.

Mtoto wa Abdul anathibitisha Nyerere kukaa kwao. Mtu ambaye kaja Dar miaka ya Themanini na Tisini anabisha.

Kwa hiyo kwako wewe kipimo cha mtu kuijua historia kwa usahihi kuhusu miaka ya mwanzo ya Mwl Nyerere hapo Dar ni kuzaliwa na kukulia Dar sivyo?kuna watu wakiandika kumuhusu Nyerere kabla hata huyo mtoto wa Abdul hajazaliwa na tena amekiri wazi kwa maandishi akisema “KATIKA AKILI ZANGU ZA KITOTO”,so unapotaka wote kutubeba kwenye kapu moja kuamini kila kinachoandikwa na mtu ni sahihi jipime vizuri uelewa wako.

Kwa maneno yake mwenyewe mzee Said hapo juu amesema “Mwl Nyerere alikaa kwa Abdul miezi mitatu tu” so wa mikoani au wageni wa Dar tuamini kwamba harakati zote za Mwalimu kudai uhuru wa kitaifa alizifanya akiwa Butiama ila akaja kufanikiwa alipopata hifadhi ya miezi mitatu kwa Abdul?mkuu haupo na wajukuu zako sebuleni kwako ukiwapa hadithi hapa upo na watu wazima wanaochakata vizuri bongo zao kukubali wanachoambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mohamed Said, post: 36196742, member: 12431"]
Nguruvi...Nimekueleza siku nyingi sana kuwa njia bora ni kuandikwa kwa kitabu ambacho kinaweza kueleza hiyo historia nyingine ambayo nyinyi mnaona ndiyo ya kweli.
Miongoni mwa sifa za wasomi
1. Kukubali 'criticism '
2. Kutetea kazi zao kwa hoja.
Ni msomi gani aanayetetea ''thesis'' kwa kuwaambia wenzake waandike vitabu vyao?
Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ng'waza Kamata kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wameandika Wasifu wa Julius Nyerere volumes tatu na mimi ni mmoja wa watu waliohojiwa kuhusu Mwalimu Nyerere.Katika kitabu wanasema Nyerere alipokelewa na Ally Sykes na akakaa nyumbani kwake Mtaa wa Kipata kwa miezi mitatu.
Kumbe basi kwa miaka 10 hapa jamvini umeanisha watu kitu ulichokuwa huna ushahidi nacho hadi Prof Shivji na Saida walipoandika mwaka jana tu. Kitabu chako kina miaka zaidi ya 20
Yaani unasubiri kutetewa na si wewe kutetea kazi zako. Tulisema unaandika uongo! unaona sana

Prof Shivji na Prof Said hawa ni wasomi na tunawatumia salamu zetu kutoka JF kwamba, Abdul hakumpokea Nyerere Dar es Slaam. Nyerere alikuwa mkazi wa Dar na alifika kuanzia mwaka 1948. Tunao ushahidi wa kutosha.
Nyerere aliishi na Abdul Sykes baada ya kuacha kazi akitokea Pugu si Butiama au kwingine
Nakuomba hebu shughulika na hili kwani hili naona lina raha zaidi kuliko Nyerere kupokelewa na Abdul Sykes
.Hapana usiondoke kwenye hoja. Kwanza tukubaliane kuwa Abdul Sykes hakuwahi kumpokea Nyerere Dar es Slaam. Na kwamba, Nyerere aliishi kwa Abdul Sykes baada ya kuacha kazi Pugu.
Kwamba Nyerere alifika Dar es Slaam tangu mwaka 1948 na kwa nayakati mabali mbali kama Pascal Mayalla alivyodadavua kwa kina.

Unanidai ushahidi wa Nyerere kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes.
Nikikupa ushahidi wa baba yangu Salum Abdallah naamini utaukataa.
Wapi nimedai kuwa Nyerere hajaishi kwa Abdul. Tafadhali onyesha . Hizi ndizo njia za muongo, kutafuta mahali pa kutokea.
Nimeeleza kila mahali kuwa Nyerere aliishi kwa Abdul baada ya kuacha kazi. Pascal Mayalla kaeleza na tumesema wazi hilo halipingiki.
Tunachokueleza hapa ni kuwa Nyerere hakupokelewa na Abdul.
Nina uhakika unajua tofauti ya kuishi na mtu na kumpokea. Kama hilo hujui sina njia yakukusaidia

Soma kipande hiki alichoandika Aisha ''Daisy'' Sykes kutoka kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake:
‘’Nakumbuka katika akili yangu ya kitoto kumuona Mwalimu Nyerere akiishi nyumbani kwetu kwa muda katika nyumba yetu ya Mtaa wa Stanley baada ya kuacha kazi wakati marafiki zake wa karibu baba na Dossa Aziz walikuwa wanamtafutia nyumba ya kuishi.

Nyumba yetu ya Stanley kwa kuwa ilikuwa kwenye makutano ya barabara mbili ilikuwa na mjengo wa kipekee kwa nyakati zile.

Nyumba kubwa na yenye vyumba kadhaa ilikuwa upande wa Mtaa wa Stanely na upande wa Mtaa wa Sikukuu ilikuwa nyumba nyingine inayojitegemea ikiwa na sebule na chumba cha kulala hapo hapo.

Ingawa upande huu wa nyumba ilikuwa na nafasi ya kutosha ilikuwa vigumu kwa wanaume wawili wakubwa kuishi pamoja.

Baba yangu mdogo Abbas ambaye alikuwa akiishi kwenye nyumba ile ikabidi ahame aende kweye nyumba yetu nyingine Mtaa wa Kipata au ajibane nyumba kubwa ili Mwalimu Nyerere apate utulivu na faragha katika nyumba ile.’’

Hapo chini nimeweka nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyokuwa miaka ile ya 1950s ingawa picha hiyo nyumba imefanyiwa mabadiliko kidogo na picha nyingine nyumba hiyo kama ilivyo hivi sasa.
Kwa lugha ya stara hili tunaliita ''anachronism''. Kwa lugha isiyopendeza ni nonsense

Hatukukuuliza haya, hoja ilikuwa ni moja. Nyerere hakupokelewa Dar es Salaam na Abdul Sykes.
Huu ni ukweli ulioshindwa kuutetea ingawa unauzungumza. Unafanya hivyo ukijua kuwa uongo unaourudia kila mara sasa unageuka kuwa ukweli.

Mpelekea salam Prof Shivji na Prof Saida , kwamba, kama wanaweza waje hapa tuongee nao na kuwathibitishia kuwa Nyerere hakupokelewa na Abdul Sykes Dar es Salaam hata siku moja.
Kilichotokea ni Nyerere kuishi kwa Abdul Sykes baada ya kauacha kazi Pugu.

Hayo maneno yoote hayana maana katika mjadala, yamekusudia kufunika aibu ya uongo ambao huwezi kuutetea bali kujificha ficha nyuma ya maandishi mengi yasiyoulizwa wala yasiyojibu hoja.

Wanajamvi, nadhani mnaouona UONGO wa Mohamed Said kwa macho yenu.

Hapa lengo lake ni moja, 'kumpa Nyerere jina baya'' kama majina mabaya ya mbwa ili kujenga ''uhalali wa kumuua''

Hiyo hadithi ya Daisy imelenga kuonyesha Nyerere alikula mayai kwa Abdul Sykes.
 
Mimi ni kutoka bara hivyo neno Tanzia linaswihi ilmuradi tu wewe unajua kwamba huko pwani Taazia ni sawa na Tanzia, pia hapa tunazungumza kiswahili, sio Kiarabu.
Kaka nilikwambia na nitaendelea kukwambia wewe una tatizo la kutokuwa makini, sasa sijui tatizo hili linasababishwa na pupa hasi au ufahamu wako kuwa mdogo au vipi ? Jaribu kulitatua hili tatizo kinyume chake utazidi kuonekana kituko.

Hivi nani alikwambia kutumia tamko fulani la lugha fulani baada ya kuoholewa ndiyo kuonfea lugha hiyo ? Angalia wewe ulivyotumia msamiati wa Kiarabu, lakini ukweli ni kuwa huongei Kiarabu. Hapo mzee amekukumbusha au kugusia tamko "Taazia" hapo kabla na sasa kwamba ni la asili ya Kiarabu. Ona wewe umatumia matamko "Tafadhali, Tafakari" na mfano wa hayo na huambiwi unaongea au kuandika Kiarabu.

Bali hata hilo tamko la huko kwenu "Bara",tamko Bara ni la asili ya Kiarabu, lakini hatukwambii unaandika Kiarabu au unaongea Kiarabu.
 
Kumbuka huyu ni mwanahistoria ambaye miaka 10 iliyopita ameanisha umma kuwa Nyerere alipokelewa na Abdul. Baada ya kubanwa leo anasema kuna kitabu cha mwaka jana kinaeleza hivyo.
Kwa maneno mengine hakuwa na ushahidi wa Abdul kumpokea Mwalim Nyerere
Ngoja nikuulize swali kiongozi, kwani kumpokea mtu anapo ingia mji fulani sharti huyo mtu awe ndiyo anaingia katika mji huo kwa mara kwanza au kinyume chake ?

Je hayo marejeo ya Mzee Muhammed Said kwa kina mzee Shivji na Said, kuhusu kupokelewa si ushahidi au ni uongo pia ?

Wewe unao ushahidi unao onyesha ya kuwa mzee Nyerere hakupokelewa na mzee Abdul ?
 
Back
Top Bottom