Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Mwaka wa 1929 Kleist na baadhi ya rafiki zake wa karibu kama Mzee bin Sudi, ambaye wazazi wake walikuwa Wamanyema kutoka Belgian Congo, Ibrahim Hamis - Mnubi ambaye baba yake alitoka Daffur nchini Sudan, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima - Mzaramo, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola - Myao kutoka Masasi walianzisha African Association, Kleist akiwa katibu muasisi. ''
Mwenyekiti muasisi akiwa Mwalim Cecil Matola. Naam hata Rawason katajwa!
 
Huyu Abdul Sykes TANU chama alichokiunda kwa jasho lake kutoka African Association chama alichounda baba yake na yeye akakitumikia kama kiongozi baada ya kufa baba yake, TANU chama kilichomfuta katika historia yake leo Abdul anatajwa na kuhushishwa na historia ya TANU kisha kuingia katika Dictionary of African Biography (DAB) akitajwa yeye na mduguze pamoja na baba yao huu ni muujiza tosha.
Si tumekuuliza mwenye chama ana kadi namba 3 , Mgeni Nyerere namba 1, ilikuwaje?
Tumekuuliza utuonyesha katiba ya AA , TAA na TANU ya Abdul Sykes, hukuweza kutoa hata nusu mstari

Tumekuuliza utueleze mahali Abdul Sykes amehutubia mkutano wa siasa acha vikao vya chai kipata! hakuna

Tumekuuliza utuoonyeshe kadi ya uanachama ya AA ya Kleist au TAA ya Abdul , hakuna!

Lakini tunajua kitu kimoja, Nyerere alipoacha ualimu na kujiunga na TANU, aliandika katiba.

Abdul Sykes hana chochote cha kuonyesha! Kama kipo ni kipi?
Nyerere anacho, aliichukua TANU tukapata Uhuru na kuiongoza Tanganyika huru na Tanzania.
 
Nguruvi...
Mimi nakubaliana sana na wewe.
Abdul si lolote hata baba yake si chochote.

Hata sijui ilikuwaje ikawa yeye kitabu chake kimetikisa kiasi hiki.
 
Abdul Sykes hana chochote cha kuonyesha! Kama kipo ni kipi?
Nyerere anacho, aliichukua TANU tukapata Uhuru na kuiongoza Tanganyika huru na Tanzani

Nyerere alikuwa mjanja, isitoshe alitamani historia ingeandikwa in his favour kwamba ni yeye pekee katika nchi hii ndiye aliyedai uhuru.
 
Nyerere alikuwa mjanja, isitoshe alitamani historia ingeandikwa in his favour kwamba ni yeye pekee katika nchi hii ndiye aliyedai uhuru.
Mokaze,
Kuna mengi najizuia kuyasema kwa kuchelea isionekane mie nimeghadhibishwa na hizi "provocations."

Chuo Cha CCM Kivukoni walitamani sana kuanza historia ya TANU na Julius Nyerere na wakafanya hivyo wakiamini kuwa historia hiyo itasimama.

Kitabu kikatoka mwaka wa 1981.

Kwa hakika kitabu hiki ni kichekesho na hawajaweza kuchapa toleo jingine la pili.

Hakuna mhadhiri yeyote Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Idara ya Historia anaefanya rejea ya kitabu hiki kwa wanafunzi wake.

Mimi nikaamua kukijibu kitabu hiki kwa namna nyingine na yenye ushahidi ambao Kivukoni hawataweza kuupata popote.

Nikaamua kutumia "biographical approach," yaani kuiandika historia ya TANU kupitia maisha ya viongozi wa African Association na TANU.

Hapa ndipo pagumu sana kwa yeyote ambae ana hamu ya kunipinga.

Tayari nilikuwa na mswada wa Kleist alioandika mwenyewe kwa mkono wake kabla hajafa mwaka wa 1949.

Mswada huu nimeshaueleza mara nyingi hapa jamvini ni mashuhuri.

Historia ya vipi yeye Kleist alihusika kama katibu katika kuunda African Association imo ndani ya mswada.

1950 Abdul Sykes akachukua uongozi wa TAA mwaka mmoja baada ya kifo cha baba yake.

Hapa napo nikawa na Nyraka za Sykes kila kitu kimo humo.

Utaona hapa baba na mwanae wote wamehusika na mwamko huu wa Waafrika wa Tanganyika kujitambua kati ya 1929 hadi uhuru unapatikana 1961.

Kivukoni wao kwa bahati mbaya sana historia yao ya TANU imeanza mwaka wa 1954 na Nyerere na kwa makusudi wakafuta historia ya Abdul Sykes.

Historia ya Mohamed Said inaanza na Kleist 1929 na kuendelea na Abdul 1950.

Hapa ndipo nilipovutia wanafunzi wa African History na historia hii ikamgusa Mwalimu Nyerere na hili ni jina kubwa sana.

Kitabu kilipotoka kiliwastua watu wengi sana kwani mengi waliyokutananayo ndani ya kitabu cha Abdul Sykes walikuwa hawajapata kuyasikia na kubwa zaidi lililowapa tabu ni mchango wa Waislam katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Tusimame hapa.
 
kubwa sana lililowapa tabu ni mchango wa Waislam katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sema yote lakini hilo ndilo jambo wapinga ukweli wa historia wasingependa kulisikia.

juu ya yote, don't fear anything for the truth as a truth sets one free.
 
Nyerere alikuwa mjanja, isitoshe alitamani historia ingeandikwa in his favour kwamba ni yeye pekee katika nchi hii ndiye aliyedai uhuru.
Na wewe acha kuingilia usiyoyajua, usithubutu kumlinganisha baba wa Taifa na walowezi ambao kuja kwao Tanganyika ilikuwa ni kushirikiana na wakoloni kuwakalia Watanganyika. Huyo mjomba wake mlowezi mwingine kutoka Congo na wewe kweli unakubali ndio walipigania uhuru wa Tanganyika. Kwani Tanganyika haikuwa na watu! Hebu ona hapa upuuzi mwingine wa Mohamed Said, nanukuu;
Mohamed Said said:
Mwaka wa 1929 Kleist na baadhi ya rafiki zake wa karibu kama Mzee bin Sudi, ambaye wazazi wake walikuwa Wamanyema kutoka Belgian Congo, Ibrahim Hamis - Mnubi ambaye baba yake alitoka Daffur nchini Sudan, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima - Mzaramo, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola - Myao kutoka Masasi walianzisha African Association, Kleist akiwa katibu muasisi.
Wazulu kutoka Afrika Kusini, Manyema kutoka Congo na Wanubi kutoka Sudan ndio wanatangulizwa hapa, je manake nini? Halafu umuhimu wote anapewa Sykes, eti katibu muasisi. Mokaze, unaweza kumuuliza huyo muongo, kwa nini Cecil Matola Mtanganyika, Kiongozi Mkuu muasisi na Rais wa kwanza wa AA anatajwa tu kama vile si chochote?

Na badala yake katibu wake mlowezi Sykes ndiye anapewa umuhimu? Hata kwa akili ya kawaida ulitakiwa ujiulize kulikoni na si kumeza tu porojo za Mohamed Said. Huyu bwana amekula sana pesa haramu na kupewa sifa zisizostahili kwa kueneza uongo mradi tu amewainua wazee wake, ili nao watambulike kama wapigania uhuru wa Tanganyika!
 
Sema yote lakini hilo ndilo jambo wapinga ukweli wa historia wasingependa kulisikia.

juu ya yote, don't fear anything for the truth as a truth sets one free.
Mokaze,
Ukiifuta historia ya Kleist ndiyo umeifuta historia ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika AA na TANU.

Ukiifuta historia ya Abdul Sykes ndiyo umeifuta historia ya Sheikh Hassan bin Ameir katika TAA na TANU.

Kitu cha kusikitisha ni kuwa unafuta pia historia ya Julius Nyerere.

Abdul na Nyerere wamefanya mengi pamoja hadi kuisimamisha TANU kuwa chama chenye nguvu kubwa.

Ndugu zangu wanachofanya ni kuja na ghadhabu na lugha zisizopendeza kama vile wanaojadiliana ni walevi.
 
Sema yote lakini hilo ndilo jambo wapinga ukweli wa historia wasingependa kulisikia. juu ya yote, don't fear anything for the truth as a truth sets one free.
You wouldn't recognize the truth if it stared back at you or if it hit you right between the eyes...yes, that's what! To argue anything with you, I'd rather argue with a kitchen table...yes, that's what! You've no idea whether you are coming or going...yeah, that's what!

Alichokosea huyo Mohamed Said ni kuleta hizi porojo zake Jamii Forums kwa mara ya kwanza mwaka 2009 akidhani na huku atawakuta wale washabiki wake wa siku zote, watu wa kumeza tu bila kutafuna. Aliyoyaandika awali mengi amejitahidi kuyabadilisha baada ya kugundua kuwa JF ni habari nyingine kabisa.
 
Mokaze,
Ukiifuta historia ya Kleist ndiyo umeifuta historia ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika AA na TANU.

Ukiifuta historia ya Abdul Sykes ndiyo umeifuta historia ya Sheikh Hassan bin Ameir katika TAA na TANU.

Kitu cha kusikitisha ni kuwa unafuta pia historia ya Julius Nyerere.

Abdul na Nyerere wamefanya mengi pamoja hadi kuisimamisha TANU kuwa chama chenye nguvu kubwa.

Ndugu zangu wanachofanya ni kuja na ghadhabu na lugha zisizopendeza kama vile wanaojadiliana ni walevi.
Hapo chini ni historia ya babu yangu Salum Abdallah:

SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDRICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947

Ndani ya gazeti la Raia Mwema (Januari 3-9, 2018) kulikuwa na makala ya maisha ya Mzee Fredrick Mchauru.

Kama kawaida yangu kupenda kusoma maisha ya Watanzania maarufu niliitupia jicho.

Haikunipitikia kabisa kama Mzee Mchauru niliyemtaja katika kitabu change cha historia ya uhuru wa Tanganyika mwaka wa 1998 bado atakuwa hai.

Jina hili likawa linajirudia akilini kwangu.

Naam Mzee Mchauru yu hai akiwa sasa na umri wa miaka 97.

Huyu Mchauru ndiye yule aliyekabiliana na na babu yangu Salum Abdallah katika uwanja wa mpira wa Town School Tabora chini ya miembe wakati wa kupambana na wakoloni, babu yangu akisimama na wananchi wa Tanganyika wakati Mchauru akiwa mtumishi wa serikali ya Waingereza?

Naam ndiye yeye.

Makala ile ilikuwa tamu haikuisha imekuja kuhitimishwa na toleo la juma hili la Raia Mwema (10 – 16 Januari 2018).

Katika toleo hili mwandishi Ezekiel Kamwaga kanitaja kwa jina kuwa nimemwandika Mzee Mchauru katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kamwaga akaeleza kuwa nimepata kusema kuwa Mzee Mchauru alipata shida kuelewana na wale waliokuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Raia Mwema (10 – 16 Januari 2018)

Dhulma ilikuwa imezidi sana na wafanyakazi wa bandarini Dar es Salaam wakiongozwa kwa siri na Abdul Sykes wakati ile kijana mdogo wa miaka 23 waliamua kufanya mgomo kudai haki zao.

Mgomo wa Makuli kama ulivyokujafahamika ulienea Tanganyika nzima.

Lakini ili kuuelewa mgomo huu ni muhimu sana msomaji akasoma historia nzima ya mgomo huu chanzo chake na vipi wananchi waliweza kujiunga pamoja hadi kufikia kuwa na uwezo wa kuitingisha serikali kwa mgomo kuenea Tanganyika nzima.

Haiwezekani kwa hapa kueleza historia yenyewe nitakachifanya nitaweka link ili msomaji kwa wakati wake mwenyewe baadae aweze kusoma lakini kwa sasa napenda kukunyambulieni ilikuwaje hadi babu yangu akapambana uso kwa macho na Fredrick Mchauru katika mgomo wa wafanyakazi wa mwaka 1947.

Tabora, Western Province 11 Septemba, 1947

‘’…mgomo huo ulioenea kama moto wa makumbi ulikumba nchi nzima kwa kasi ya ajabu.

Ilikuwa kama vile wafanyakazi wa nchi nzima wametaarifiana.

Wafanyakazi wa Tanganyika Railways huko Tabora wakiongozwa na Salum Abdallah waliingia kwenye mgomo tarehe 11 Septemba.

Chama cha African Association mjini Tabora kilimteua Mwalimu Pinda, aliyekuwa akifundisha shule ya St Mary, kuwa 'mshauri' wa wafanyakazi waliogoma.

Asubuhi ya siku ya mgomo wafanyakazi wa Tanganyika Railways walikusanyika kwenye kiwanja cha mpira chaTown School, wakakaa chini ya miembe kujikinga jua.

Tabora ni maarufu kwa miti hiyo.

Tangu siku hiyo kiwanja hiki kikawa ndicho uwanja maalum kwa mikutano yote ya siasa.

Serikali ilimtuma kijana mmoja kutoka Masasi aliyesoma katika shule za misheni, Frederick Mchauru kuwahutubia wafanyakazi na kuwaomba wasimamishe mgomo na warudi kazini.

Mchauru alikuwa Mmakonde kutoka Newala. Alielimishwa St. Josephís College, Chidya na St. Andrewís College, Minaki.

Mwaka 1946, Mchauru alikuwa amerudi kutoka London University akiwa amehitimu masomo yake na kuanza kazi mjini Tabora kama Assistant Social Development Officer.

Wafanyakazi waliokuwa kwenye mgomo walimpigia kelele wakimtaka anyamaze huku wakimwita msaliti.

Inashangaza namna shule za misheni zilivyowatengeneza watumishi wa serikalini walio wasomi wawe watiifu na waaminifu kwa dola.

Wasomi hawa mara nyingi walijikuta wanasigana na wale waliokuwa wakipinga ukoloni na udhalimu.

Mchauru alishindwa kutambua hali halisi iliyokuwapo pale sike ile.

Mchauru alipuuza zile kelele akaendelea kuzungumza akijaribu kuwasihi wafanyakazi warudi kazini kwao.

Ghafla hali iligeuka.

Watu walipandwa na hasira na kusikia wakisema ashikishwe adabu.

Watu waliokuwa wamehamaki wakaanza kumsogelea.

Salum Abdallah, akiwa kiongozi wa watu wale, alihisi kuwa endapo hatachukua hatua ya kumnusuru Mchauru huenda watu wakamuadhibu.

Alienda pale aliposimama Mchauru.

Aliinua mikono yake juu akawataka watu watulie. Salum Abdallah alikuwa mtu wa miraba minne na alikuwa na sauti kubwa.

Wanachama wengi wa TRAU wanamkumbuka kwa sauti yake, hasira zake na kwa umbo lake kubwa.

Wafanyakazi walipomuona Salum Abdallah walitulia na Mchauru akaondoka pale kimya kimya kupeleka taarifa kwa hao waliomtuma kuwa watu wamegoma, hawasikii la muadhini wala la mnadi sala…’’

(Kutoka kitabu, ‘’Maisha na Nyakati za Abdulwahi Sykes (1924 – 1968)…’’)

Mwaka wa 1960 Salum Abdallah aliongoza tena mgomo wa wafanyakazi wa Railway uliodumu siku 82.

Kwa miezi mitatu treni na mabasi ya Railway yalisimama hadi Waingereza waliposalimu amri na kuwaita viongozi wa wafanyakazi katika meza ya majadiliano.

Uhuru ulipopatikana babu yangu akapambana kwa fikra na msimamo wa Nyerere kuhusu vyama vya wafanyakazi Nyerere akitaka viwekwe chini ya TANU na viongozi wa vyama vya wafanyakazi pamoja na babu yangu wakipinga wazo hilo.

Yalipotokea maasi ya wanajeshi tarehe 20 Januari 1964 baada ya maasi kuzimwa na jeshi la Waingereza, Nyerere aliwakamata viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi na kuwaweka kizuizini.

Babu yangu alizuiwa kwenye jela ya Uyui, Tabora na alipotoka kizuizini Tanganyika Railway African Union (TRAU) chama alichokiasisi mwaka wa 1955 kilikuwa kimepigwa marufuku pamoja na vyama vingine vya wafanyakazi na badala yake kimeundwa chama cha National Union of Tanganyika Workers (NUTA) kwa juhudi kubwa za Rashid Kawawa na Michael Kamaliza.

Babu yangu alihama Tabora na kwenda Urambo kupisha shari kwani zilienezwa taarifa za uongo kuwa yeye alikuwa katika kundi pamoja na Victor Mkello (kiongozi wa wafanyakazi wa mashamba ya mkonge) na Kassanga Tumbo walikuwa wamekula njama ya kupindua serikali na kumuua Rais Nyerere.

Babu yangu akajikita katika ukulima wa tumbaku Urambo huku akiendelea na ukulima wake wa miaka yote Kakola na Uyui Tabora.

Fredrick Mchauru aliendelea na utumishi katika serikali ya kikoloni na uhuru ulipopatikana mwaka wa 1961 alishika nyadhifa mbalimbali katika serikali huru kama zilizvyoelezwa katika makala zilizochapwa na Raia Mwema.

Kama mimi nisingeaandika kitabu cha Abdul Sykes huenda historia hii ya babu yangu na wazalendo wengine isingejulikana na historia ambazo zingesomwa ndiyo hizi za watu kama Fredrick Mchauru na wengineo.

Salum Abdallah alifariki mwaka wa 1974 akiwa na umri kama miaka 80 akiwa mkimya sana kwa kuwa hapakuwa tena pale mjini na barza zilizokuwa zikijadili siasa kama miaka ya 1950 wakati wa kudai uhuru.

Siasa ilikuwa sasa jambo la kutisha watu wakihofu kukamatwa na kuwekwa gerezani.

Babu yangu akiungulia ndani kwa ndani kwa chuki dhidi ya TANU chama alichokiendea mbio na kuhudhuria mikutano yake yote ya siri mwaka wa 1953 pamoja na wazee wenzake akina Maulidi na Abdallah Kivuruga, Rajab Saleh Tambwe, Abubakar Mwilima kuwataja wachache, na kuwa mmoja wa waasisi wake mjini Tabora mwaka wa 1955.

Siku zote yeye baada ya kuona vyama vya wafanyakazi vimekwa chini ya TANU na serikali yake aliwaona viongozi wapya wa vyama hivi vibaraka wa serikali hawataweza kupigania haki za wafanyakazi kwa dhati.
 
Hapo chini ni historia ya babu yangu Salum Abdallah:

SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDRICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947

Ndani ya gazeti la Raia Mwema (Januari 3-9, 2018) kulikuwa na makala ya maisha ya Mzee Fredrick Mchauru.

Kama kawaida yangu kupenda kusoma maisha ya Watanzania maarufu niliitupia jicho.

Haikunipitikia kabisa kama Mzee Mchauru niliyemtaja katika kitabu change cha historia ya uhuru wa Tanganyika mwaka wa 1998 bado atakuwa hai.

Jina hili likawa linajirudia akilini kwangu. Naam Mzee Mchauru yu hai akiwa sasa na umri wa miaka 97. Huyu Mchauru ndiye yule aliyekabiliana na na babu yangu Salum Abdallah katika uwanja wa mpira wa Town School Tabora chini ya miembe wakati wa kupambana na wakoloni, babu yangu akisimama na wananchi wa Tanganyika wakati Mchauru akiwa mtumishi wa serikali ya Waingereza?

Naam ndiye yeye. Makala ile ilikuwa tamu haikuisha imekuja kuhitimishwa na toleo la juma hili la Raia Mwema (10 – 16 Januari 2018).

Katika toleo hili mwandishi Ezekiel Kamwaga kanitaja kwa jina kuwa nimemwandika Mzee Mchauru katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Kamwaga akaeleza kuwa nimepata kusema kuwa Mzee Mchauru alipata shida kuelewana na wale waliokuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika.

Raia Mwema (10 – 16 Januari 2018)

Dhulma ilikuwa imezidi sana na wafanyakazi wa bandarini Dar es Salaam wakiongozwa kwa siri na Abdul Sykes wakati ile kijana mdogo wa miaka 23 waliamua kufanya mgomo kudai haki zao. Mgomo wa Makuli kama ulivyokujafahamika ulienea Tanganyika nzima.

Lakini ili kuuelewa mgomo huu ni muhimu sana msomaji akasoma historia nzima ya mgomo huu chanzo chake na vipi wananchi waliweza kujiunga pamoja hadi kufikia kuwa na uwezo wa kuitingisha serikali kwa mgomo kuenea Tanganyika nzima.

Haiwezekani kwa hapa kueleza historia yenyewe nitakachifanya nitaweka link ili msomaji kwa wakati wake mwenyewe baadae aweze kusoma lakini kwa sasa napenda kukunyambulieni ilikuwaje hadi babu yangu akapambana uso kwa macho na Fredrick Mchauru katika mgomo wa wafanyakazi wa mwaka 1947.

Tabora, Western Province 11 Septemba, 1947

‘’…mgomo huo ulioenea kama moto wa makumbi ulikumba nchi nzima kwa kasi ya ajabu. Ilikuwa kama vile wafanyakazi wa nchi nzima wametaarifiana.

Wafanyakazi wa Tanganyika Railways huko Tabora wakiongozwa na Salum Abdallah waliingia kwenye mgomo tarehe 11 Septemba. Chama cha African Association mjini Tabora kilimteua Mwalimu Pinda, aliyekuwa akifundisha shule ya St Mary, kuwa 'mshauri' wa wafanyakazi waliogoma.

Asubuhi ya siku ya mgomo wafanyakazi wa Tanganyika Railways walikusanyika kwenye kiwanja cha mpira chaTown School, wakakaa chini ya miembe kujikinga jua. Tabora ni maarufu kwa miti hiyo.

Tangu siku hiyo kiwanja hiki kikawa ndicho uwanja maalum kwa mikutano yote ya siasa.

Serikali ilimtuma kijana mmoja kutoka Masasi aliyesoma katika shule za misheni, Frederick Mchauru kuwahutubia wafanyakazi na kuwaomba wasimamishe mgomo na warudi kazini.

Mchauru alikuwa Mmakonde kutoka Newala. Alielimishwa St. Josephís College, Chidya na St. Andrewís College, Minaki.

Mwaka 1946, Mchauru alikuwa amerudi kutoka London University akiwa amehitimu masomo yake na kuanza kazi mjini Tabora kama Assistant Social Development Officer.

Wafanyakazi waliokuwa kwenye mgomo walimpigia kelele wakimtaka anyamaze huku wakimwita msaliti. Inashangaza namna shule za misheni zilivyowatengeneza watumishi wa serikalini walio wasomi wawe watiifu na waaminifu kwa dola.

Wasomi hawa mara nyingi walijikuta wanasigana na wale waliokuwa wakipinga ukoloni na udhalimu.

Mchauru alishindwa kutambua hali halisi iliyokuwapo pale sike ile. Mchauru alipuuza zile kelele akaendelea kuzungumza akijaribu kuwasihi wafanyakazi warudi kazini kwao. Ghafla hali iligeuka.

Watu walipandwa na hasira na kusikia wakisema ashikishwe adabu.

Watu waliokuwa wamehamaki wakaanza kumsogelea. Salum Abdallah, akiwa kiongozi wa watu wale, alihisi kuwa endapo hatachukua hatua ya kumnusuru Mchauru huenda watu wakamuadhibu.

Alienda pale aliposimama Mchauru. Aliinua mikono yake juu akawataka watu watulie. Salum Abdallah alikuwa mtu wa miraba minne na alikuwa na sauti kubwa.

Wanachama wengi wa TRAU wanamkumbuka kwa sauti yake, hasira zake na kwa umbo lake kubwa. Wafanyakazi walipomuona Salum Abdallah walitulia na Mchauru akaondoka pale kimya kimya kupeleka taarifa kwa hao waliomtuma kuwa watu wamegoma, hawasikii la muadhini wala la mnadi sala…’’

(Kutoka kitabu, ‘’Maisha na Nyakati za Abdulwahi Sykes (1924 – 1968)…’’)

Mwaka wa 1960 Salum Abdallah aliongoza tena mgomo wa wafanyakazi wa Railway uliodumu siku 82. Kwa miezi mitatu treni na mabasi ya Railway yalisimama hadi Waingereza waliposalimu amri na kuwaita viongozi wa wafanyakazi katika meza ya majadiliano.

Uhuru ulipopatikana babu yangu akapambana kwa fikra na msimamo wa Nyerere kuhusu vyama vya wafanyakazi Nyerere akitaka viwekwe chini ya TANU na viongozi wa vyama vya wafanyakazi pamoja na babu yangu wakipinga wazo hilo.

Yalipotokea maasi ya wanajeshi tarehe 20 Januari 1964 baada ya maasi kuzimwa na jeshi la Waingereza, Nyerere aliwakamata viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi na kuwaweka kizuizini.

Babu yangu alizuiwa kwenye jela ya Uyui, Tabora na alipotoka kizuizini Tanganyika Railway African Union (TRAU) chama alichokiasisi mwaka wa 1955 kilikuwa kimepigwa marufuku pamoja na vyama vingine vya wafanyakazi na badala yake kimeundwa chama cha National Union of Tanganyika Workers (NUTA) kwa juhudi kubwa za Rashid Kawawa na Michael Kamaliza.

Babu yangu alihama Tabora na kwenda Urambo kupisha shari kwani zilienezwa taarifa za uongo kuwa yeye alikuwa katika kundi pamoja na Victor Mkello (kiongozi wa wafanyakazi wa mashamba ya mkonge) na Kassanga Tumbo walikuwa wamekula njama ya kupindua serikali na kumuua Rais Nyerere.

Babu yangu akajikita katika ukulima wa tumbaku Urambo huku akiendelea na ukulima wake wa miaka yote Kakola na Uyui Tabora.

Fredrick Mchauru aliendelea na utumishi katika serikali ya kikoloni na uhuru ulipopatikana mwaka wa 1961 alishika nyadhifa mbalimbali katika serikali huru kama zilizvyoelezwa katika makala zilizochapwa na Raia Mwema.

Kama mimi nisingeaandika kitabu cha Abdul Sykes huenda historia hii ya babu yangu na wazalendo wengine isingejulikana na historia ambazo zingesomwa ndiyo hizi za watu kama Fredrick Mchauru na wengineo.

Salum Abdallah alifariki mwaka wa 1974 akiwa na umri kama miaka 80 akiwa mkimya sana kwa kuwa hapakuwa tena pale mjini na barza zilizokuwa zikijadili siasa kama miaka ya 1950 wakati wa kudai uhuru.

Siasa ilikuwa sasa jambo la kutisha watu wakihofu kukamatwa na kuwekwa gerezani.

Babu yangu akiungulia ndani kwa ndani kwa chuki dhidi ya TANU chama alichokiendea mbio na kuhudhuria mikutano yake yote ya siri mwaka wa 1953 pamoja na wazee wenzake akina Maulidi na Abdallah Kivuruga, Rajab Saleh Tambwe, Abubakar Mwilima kuwataja wachache, na kuwa mmoja wa waasisi wake mjini Tabora mwaka wa 1955.

Siku zote yeye baada ya kuona vyama vya wafanyakazi vimekwa chini ya TANU na serikali yake aliwaona viongozi wapya wa vyama hivi vibaraka wa serikali hawataweza kupigania haki za wafanyakazi kwa dhati.
Babu mshale unamuonyesha na kulia kwake ni Kassanga Tumbo pamoja na viongozi wengine wa Tanganyika Railway African Union (TRAU).

IMG-20200728-WA0183.jpg
 
Mohamed ana sifa moja kubwa miongoni mwa nyingi.
Ni mtu anayejua kuipeleka hadhra aliyoikusudia kule anakotaka.
Katika kufanisha mipango yake iwe kwa uzuri au ubaya kutegemea hoja, Mohamed hurudi jambo hata mara 1000. Mzee Said anafahamu, kurudia rudia uongo mara nyingi hugeuka kuwa ukweli.
Soma hapa chini
Kwa mtu anayesoma vitu juu juu, au asiye na ufahamu wa kina na mada au mwenye upungufu tu wa kibinadamu wa kuelewa, hoja ya Mohamed inasomeka tofauti lakini kwa mtazamo wa kusudio lake.

Msomaji ataamini kuwa Nyerere alitoka Butiama na kufikia kwa Abdul Sykes.
Na kwamba ujio wa Nyerere ilikuwa zao la juhudi za Abdul Sykes.
Hapo Mohamed atakuwa tayari amempa 'mbwa jina baya ili amuue''

Hapa ieleweke suala si uhusiano wa Nyerere na Abdul unaopingwa.
Nyerere alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza katika mkutano mwaka 1948 akitokea Tabora.

Baadaye Nyerere alikuja Dar kufundisha kama Mwalimu kule Pugu.

Alipoacha kazi ya Ualimu ndipo alipokwenda kuishi na Abdul

Mohamed hawezi kukueleza mahusiano ya kufahamiana japo kwa juu juu kati ya Nyerere na Abdul

Atakachokueleza ni Nyerere kuishi kwa Abdul na atarudia mara 1000 na inageuka kuwa ''ukweli ''

Tumemueleza Mohamed, haiwezekani Chama kikawa na makao makuu Dar es Salaam chini ya Abdul Kleist Syke Mbuwane, na mwenyekiti huyo asitambue uwepo wa tawi kubwa sana la Tabora likiongozwa na katibu Nyerere.

Haiwezekani kwamba Nyerere alizuka mwaka 1948 kuja katika mkutano ambao watu hawamjui na wala hawakutaka kumjua baada ya hapo.

Ikiwa ni hivyo huyu Abdul atakuwa kiongozi Mpumbavu sana.
Abdul hakuwa mpumbavu! wa kutambua wasomi wachache sana enzi hizo Nyerere akiwa miongoni!

Na ikiwa ilitokea haitakuwa ajabu, Abdul alikuwa Askari na aliwahi kuwafurumusha kwa makonde baba zake katika mapinduzi ya chama, seuse kumtambua Nyerere!

Sina tatizo na mtazamo wa Mohamed wala historia yake.

Nina tatizo na jinsi anavyotumia kalamu yake kuudurusu uongo mara 100 hata kuufanya uwe ukweli kwa sababu rahisi tu '' ukitaka kumuu mbwa mpe jina baya'' na hapa Nyerere hakwepi jina.

Masalaam, narudi viungani kuokota kumbaa !

JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
[SUP]Hii ni akili kubwa mno inawezekana hata Mohammed Said asikuelewe[/SUP]
 
Yego...
Akiwa na ghadhabu mtu hawezi kufikiria vizuri.

Nyerere alikuwa Pugu akisomesha na alipelekwa na Joseph Kasella Bantu nyumbani kwa Abdu Sykes.

Mwalimu alipoacha kazi ndiyo akahamia Dar es Salaan na kupokelewa na Abdul Sykes.
Kwani Pugu ni Shinyanga na sio Dar es Salaam, wewe jamaa unazeeka vibaya
 
Sir...
Natambua hii historia jinsi inavyowachoma baadhi ya watu.

Ikiwa unaona kuwa kuishi Pugu ni sawa mtu kaishi Dar es Salaam Mtaa wa Stanley kwangu ni sawa.
Hahahhahah, kwa hiyo kariakoo ni Dar ila Gongo la Mboto na Pugu sio Dar
 
Back
Top Bottom