kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
...Kwa mujibu wa maelezo ya wakala wake Damas Ndumbaro, Haruna alikatisha mkataba wake na hiyo timu aliyokuwa akichezea huko Sweden kwa sabau kubwa mbili 1. Haoni kama kuna maslahi kuendelea kuichezea hiyo timu kwa nikipato apatacho kwa mtazamo wake ni kidogo 2. Kiwangi cha soka sweden haoni kama ni cha ushindani ingawa kuna maelezo kuwa hiyo timu ime-qualify kucheza kombe la ulaya????!!!!
Lakini kwa maoni yangu nilichoona kwa upande wa Haruna ni upeo mdogo wa kujua mambo na pia kukosa dhamira ya kucheza soka la ushindani. Haruna yeye hataki kukatwa kodi kwenye mshahara wake (pay as you earn), alitafutiwa nyumba lakini akatakiwa alipie kodi mwenyewe.
Nimegundua wachezaji wetu wengi wa soka wana akili finyu sana (sitaki kuzungumzia elimu hapa) maana kama ni elimu akina George Weah walipiga soka ulaya na hawakuwa na elimu sana au akina Kanu, Toure. isipokuwa wanakosa dhamira ya kweli kutaka kucheza soka ulaya na pia kukosa malengo. Hivi kwa timu kuweza kupata tiketi ya kucheza ubingwa wa ulaya si ndio ilikuwa njia ya yeye kuonyesha umahili wake ili aonekane na hatimaye kupata timu kubwa zaidi na hatimaye kupata mkataba wenye maslahi zaidi??
Kwa hiyo Haruna ameona bora kurudi simba...Kweli akilini nywele!!! :frusty::frusty:
..Unajua mkuu kuna wakati aliyekuwa katibu mkuu wa Simba Mwina Kaduguda aliwahi kusema redioni kuwa wachezaji wa soka Tanzania wanahitaji kwenda shule...Watu wengi hawakumuelewa Kaduguda na baadhi ya wachezaji walifikia hatua ya kumshutumu kuwa amewadhalilisha.wakuu nimewasoma, ukweli inasikitisha sana na ninamuonea huruma BOBAN, kutoka timu iliyo qualify kushiriki michuano ya UEFA na kuamua kurudi ligi yetu ya nyumbani ni anguko kubwa sana kimaendeleo, nafikiri hii inadhihirisha kukosa mshauri wa karibu, huenda kisaikologia hayuko fine, maana haiingii akilini hata kidogo,
Hivi wahandishi wetu hawawezi kuwasiliana na hiyo timu kwa ajili ya verifications au mambo ya 'every story has two sides' Tanzania haya-apply?
hivi hawa wachezaji wetu ni bangi au kukosa elimu ndio inawasumbua?
timu yake imeshika nafasi ya 10 ktk ligi haijafanikiwa kucheza kombe lolote ulaya,nenda ktk Gefle IF - Wikipedia, the free encyclopedia...Kwa mujibu wa maelezo ya wakala wake Damas Ndumbaro, Haruna alikatisha mkataba wake na hiyo timu aliyokuwa akichezea huko Sweden kwa sabau kubwa mbili 1. Haoni kama kuna maslahi kuendelea kuichezea hiyo timu kwa nikipato apatacho kwa mtazamo wake ni kidogo 2. Kiwangi cha soka sweden haoni kama ni cha ushindani ingawa kuna maelezo kuwa hiyo timu ime-qualify kucheza kombe la ulaya????!!!!
Lakini kwa maoni yangu nilichoona kwa upande wa Haruna ni upeo mdogo wa kujua mambo na pia kukosa dhamira ya kucheza soka la ushindani. Haruna yeye hataki kukatwa kodi kwenye mshahara wake (pay as you earn), alitafutiwa nyumba lakini akatakiwa alipie kodi mwenyewe.
Nimegundua wachezaji wetu wengi wa soka wana akili finyu sana (sitaki kuzungumzia elimu hapa) maana kama ni elimu akina George Weah walipiga soka ulaya na hawakuwa na elimu sana au akina Kanu, Toure. isipokuwa wanakosa dhamira ya kweli kutaka kucheza soka ulaya na pia kukosa malengo. Hivi kwa timu kuweza kupata tiketi ya kucheza ubingwa wa ulaya si ndio ilikuwa njia ya yeye kuonyesha umahili wake ili aonekane na hatimaye kupata timu kubwa zaidi na hatimaye kupata mkataba wenye maslahi zaidi??
Kwa hiyo Haruna ameona bora kurudi simba...Kweli akilini nywele!!! :frusty::frusty:
..Tena huko wakikutana na akina chuji hakuna kucheza mpira ni kupuliza mibangi mpaka mwisho wa ligi....:sick::sick:Tunamsubiri Jangwani
angalia maslahi wewe.timu yake imeshika nafasi ya 10 ktk ligi haijafanikiwa kucheza kombe lolote ulaya,nenda ktk Gefle IF - Wikipedia, the free encyclopedia
Waandishi gani? Waganga njaa hawa?
They wouldn't see a story if it was right in front of their faces. Hapa inaonekana jamaa kwa njia moja au nyingine kachemsha, sasa anatupa stories nyingi. Na "waandishi" wetu hata kutumia email hawajui.
Mtu aliyesota na mpira wa bongo hawezi kutaka kurudi bongo kirahisi rahisi hivi, labda waseme tu kapigwa chini au kaharibu vingine.
Vyote!
wewe acha kuleta story za vijiweni wewekule sweden bangi imehalalishwa. Huyu jamaa alikuwa anachukua kwa bill ikifika mwisho wa mwezi hana hela! Kwa mujibu wa watu waliokuwa wanafuatilia nyendo zake akiwa huko>