Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Jews waliingia Hispania kwanza wakifuatiwa na Walatoliki. Jeshi kubwa la Waislam lilitoka Morocco na kuvamia Hispania. Jews na Wakatoliki waliamriwa kuslim au kuuwawa. Jews wengi walislmu. Swala ziliendelea na watu walikuwa wanaswali hadharani.Mama Sky Eclat unaweza kudadavua hao wahispania walikombolowa kivipi katika hiyo vita yq msalaba kwamba waliuawa au walipewa neno la kweli wakawa wakristo embu dadavua kidogo tupate maarifa
Wajerumani na Ulaya yote hawakufurahishwa na hali hiyo. Hispania ilitengwa katika bara la Ulaya. Malika W Isabela na mume wake Prince Fernandis ndiyo W alifanya jitihada za kulikomboa tena Hispania kwa msaada wa Christopher Columbus