Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari wakuu,

Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana.

Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali?

Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha Kumekucha), toleo namba 102, Januari 1, 1958.
IMG_20180515_052154.jpg

Ndani ya kurasa za Komkya.
1960
IMG_20180515_052643.jpg
 
Habari wakuu,

Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana.

Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali?

Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha Kumekucha), toleo namba 102, Januari 1, 1958.
View attachment 777761
Ndani ya kurasa za Komkya.
1960
View attachment 777762
Kumbe akina wema sepetu walikuepo hata zamani ee? Naona picha ya huyo bi dada wa ukweli, kweli kweli, na vazi la kisasa kabisa, uwezi jua kama ni 1958.
 
unataka kuanzisha ukabila hapa ili waonekane wachaga walielimika mapema sana .. Ngoja waje wenye kinyongo na wachagA watakavyotoa povu
 
Ukitaka kujua kwamba ukabila ni tatizo, angalia hata hawa wachaga wameanza kubaguana hapa.

Mara sisi wa kibosho tunajielewa, mara wa marangu sio wachaga, mara gazeti lilikua la wamachame na sio la wachaga!

Hii ndio raha ya ukabila!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Huyu hana nia njema na hii thread yake. Unauliza gazeti la wachaga, mbona hauulizi kuhusu gazeti la mfanyakazi kupotea? Tena likikuwa la serikali?
 
Hahahaa nimemwona mrembo wa mwaka 60
Sahv wataandika habari gani maana kuna Magazeti hadi mtandaoni,
 
Ukitaka kujua kwamba ukabila ni tatizo, angalia hata hawa wachaga wameanza kubaguana hapa.

Mara sisi wa kibosho tunajielewa, mara wa marangu sio wachaga, mara gazeti lilikua la wamachame na sio la wachaga!

Hii ndio raha ya ukabila!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ndomana walipenda likufe huko ili "tukose wote"
 
Back
Top Bottom