Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

Kumbe akina wema sepetu walikuepo hata zamani ee? Naona picha ya huyo bi dada wa ukweli, kweli kweli, na vazi la kisasa kabisa, uwezi jua kama ni 1958.
anaitwa bi.Tausi Mohamed mwandishi ameandika kua kwa bi. huyo akihama moshi sifa ya moshi itapotea(wakati huo)
 
Hamna chuki mnaandika kuhusu vipusa na mikutano ya sungusungu sasa hayo yanaletaje wivu na chuki, hilo km gazeti la Sani tu burudani afu tupia pembeni au fungia vitumbua
 
Ukitaka kujua kwamba ukabila ni tatizo, angalia hata hawa wachaga wameanza kubaguana hapa.

Mara sisi wa kibosho tunajielewa, mara wa marangu sio wachaga, mara gazeti lilikua la wamachame na sio la wachaga!

Hii ndio raha ya ukabila!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hakuna mchaga alie andika hayo, ni huyo mzaramo anajitekenya
 
Uliza ww sasa
Niulize nini? Mimi sina akili za kujadili vitu vyepesi kama hivyo. Ni sawa na kuuliza kwanini Zinjathropas hawapo duniani? Au kwanini mabasi ya kamata na Railway hayapo, ni utoto huo. Ndio jinsi inavyoonyesha watanzania ni wavivu kufikiri.
 
Basi tuliza msuli
 
Wachaga hawahitaji gazeti tena, wala hakuna kabila linalohitaji gazeti...Tanzania ni moja kwa sasa, japo ni vizuri kukumbushia vitu kama hivyo
 
Back
Top Bottom