Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

Nini kilisababisha gazeti la wachaga lipotee sokoni?

hahaaa maandishi ni hifadhi nzuri ya historia pia ni alama ya civilizations.
 
Hamna chuki mnaandika kuhusu vipusa na mikutano ya sungusungu sasa hayo yanaletaje wivu na chuki, hilo km gazeti la Sani tu burudani afu tupia pembeni au fungia vitumbua
kinachokusumbua wewe omusigazi ni wivu na wivu,majungu ndio mambo yenu mnaoneana wivu huko kagera ndio mAana mtazd kubaki maskini
hilo gazeti lilikuwa likiandka mambo ya jamii ya kichaga tu kwa kipindi hicho sasA ulitakaje,? nyie watu MNA akili za kimaskini sana
endelea kucheza akatambala tu hapo minziro sisi tunapiga kaz
 
Back
Top Bottom