figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kumbe akina wema sepetu walikuepo hata zamani ee? Naona picha ya huyo bi dada wa ukweli, kweli kweli, na vazi la kisasa kabisa, uwezi jua kama ni 1958.Habari wakuu,
Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana.
Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali?
Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha Kumekucha), toleo namba 102, Januari 1, 1958.
View attachment 777761
Ndani ya kurasa za Komkya.
1960
View attachment 777762
TrueLabda baada ya Uhuru ilifutwa ili kujenga umoja wa kitaifa kama zillivyofutwa tawala za machifu wa makabila mbali mbali.
TrueLifufue tutachangia tuwe tunapeana update tutajenga umoja kusaidiana nakutangaza utamaduni wetu wakichaga ndani na nje.
Huu ndio ukweli, learn from the best.wachaga walielimika mapema sana ..
Kweli aseehivi mkuu wewe ulilogwa na nani?siumwombe msamaha tuu yaishe?
Ndomana walipenda likufe huko ili "tukose wote"Ukitaka kujua kwamba ukabila ni tatizo, angalia hata hawa wachaga wameanza kubaguana hapa.
Mara sisi wa kibosho tunajielewa, mara wa marangu sio wachaga, mara gazeti lilikua la wamachame na sio la wachaga!
Hii ndio raha ya ukabila!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]