Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African
 
Naomba nikujibu kwa kifupi sana.

Sababu kubwa ni maslahi, kwani yule mTanzania ni mtaalamu wa kuopareti moja kati ya motambo ghali sana migodini na duniani kwa ujumla. Nafikiri kule alikua analipwa mshahara kati ya milioni 25-30 pesa ya Kitanzania.

Na kilicho tokea huko Burkina Faso kinaweza kutokea hata kwenye migodi ya hapa Tanzania.

Hivyo basi, naomba niseme kwamba wewe unajaribu kupotosha ukweli kwa kuandika kwamba (mtanzania alienda kwenye mgodi wa Perkoa kiteseka)
 
Naomba nikujibu kwa kifupi sana.
Sababu kubwa ni maslahi, kwani yule mTanzania ni mtaalamu wa kuopareti moja kati ya motambo ghali sana migodini na duniani kwa ujumla. Nafikiri kule alikua analipwa mshahara kati ya milioni 25-30 pesa ya kitanzania.
Na kilicho tokea huko Burkina Faso kinaweza kutokea hata kwenye migodi ya hapa Tanzania.
Hivyo basi, naomba niseme kwamba wewe unajaribu kupotosha ukweli kwa kuandika kwamba (mtanzania alienda kwenye mgodi wa Perkoa kiteseka)

Hebu pitia huu uzi hapa chiini uone Watanzania wanavyoteseka kwenye migodi ya Msumbiji, hili hata Magufuli aliwahi kulihoji kwamba Mtanzania uache migodi kule Geita uende kuteseka kwenye mataifa ya watu Sakata la kufukuzwa watanzania katika machimbo nchini Msumbiji
 
Mkuu...

Bado naendelea kukwambia kwamba wewe ni mpotoshaji, yaani unajaribu kupindisha uongo ili ufanane na ukweli.

Hiyo link unayo nitaka niisome imezungumzia wachimbaji wadogo wadogo/yaani uchimbaji wa kienyeji usio hitaji utaalamu ambapo yeyote anaweza akafanya.

Hii ajali ya Perkoa imetokea kwenye mgodi wa Zinc. Ni mgodi wa kisasa na wanatumia mashine za kisasa kwenye uchimbaji.

Na huyo mtanzania alie kwama kwenye mgodi ule alikua anaopareti mtambo wa bei ghali (kwa makadirio ya chini kabisa huo mtambo unaweza ukawa bilioni 2.5 pesa ya kitanzania)

Narudia kukwambia kwamba ebu acha upotoshaji mkuu
 
Hayo ya Mtanzania kwamba alikua ana-operate mtambo wa gharama sijui bilioni 2.5, inapaswa uambatanishe na source kabisa ili uache kuonekana kama mpotoshaji..... ha ha ha!!
 
Mkuu, naona umeanza kuishiwa hoja baada ya kugundua kwamba unapotosha ukweli hapa.
Kimsingi umendika huu uzi kiushabiki pasipo kujua hali ama uhalisi wa Mining Industry.
Nilicho kifanya ni kutoa ufafanuzi mzuri zaidi ili utoke kwenye uongo kwamba (mTanzania alienda kuteseka) Furkina Faso
 
Aha! Wala... Nimeleta taarifa za Mtanzania aliyekwama kwenye mgodi wa watu nchi ya mbali huko Burkina Faso, nikaweka kabisa na chanzo cha habari, kisha nikahoji nini kinasababisha Watanzania waache migodi yao mingi tu waende kuteseka kwenye migodi iliyo huko mbali, wewe ukasema huyo alikua operator wa mashini yenye gharama ya bilioni 2.5 bila chanzo cha taarifa yako hiyo, so mpotoshaji nani hapo.
 
Rejea comment yangu ya kwanza kabisa ulipo anzisha uzi, na niliandika wazi kwamba usipotoshe kwasababu issue kubwa pale ni maslahi na sio mateso.
Hapa naona unajitetea kwa comment ya pili ambayo niliiandika baada ya wewe kuniwekea link ya mgodi mwingine.
 
Comment yako ya kwanza ilisema hivi "kwani yule mTanzania ni mtaalamu wa kuopareti moja kati ya motambo ghali sana migodini na duniani kwa ujumla".....
Bila chanzo wala uthibitisho wowote kwamba yeye ni mtaalam ana-operate mtambo ghali duniani, halafu unakua wa kwanza kulalamika upotoshwaji....
 
Hahaaa! Hili swali ni sawa na kuuliza kwa nini baadhi ya Wakenya wako Marekani na Ulaya wakiuza magazeti na kuosha magari, badala ya kubaki na kuosha magari Nairobi. Waaaa!

Kama kunao Wakenya wanaosha magari Marekani hilo linaweza kujibika maana kule kazi hizo zinalipa, maana hela ambazo hutumwa na Wakenya nyumbani ni mabilioni, yaani kwa sasa hela zao ndio zinaongoza kwenye source of foreign currency reserve.
 
Rejea comment yangu ya kwanza kabisa ulipo anzisha uzi, na niliandika wazi kwamba usipotoshe kwasababu issue kubwa pale ni maslahi na sio mateso.
Hapa naona unajitetea kwa comment ya pili ambayo niliiandika baada ya wewe kuniwekea link ya mgodi mwingine.
Huyo anajulikana Sana hapa JF kwa wivu na chuki dhidi ya Tanzania, watu wamemstukia siku hizi na tunampuuza tukiona anafungua Uzi zake za chuki dhidi ya Tanzania, mpuuze usishughulike kujibishana na mpuuzi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.....

Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

sijui kama umesomea migodi.unajua kazi ya uchimbaji ni taaluma unaweza kuhama sehemu yoyote na mshiko mzuri.
haya mimi na jamaa yangu anachimba USA naye utasema kaenda kuteseka.

nyie wakenya mnajiona special sana au ni kuulize kwa nini benki zenu zinakuja hapa tz zisibaki kenya !
 
Ulinganishe banki na mtu ya mkono. Hehehehe
 
Nini kinachosababisha wakenya waache nchi Yao waende kutumikishwa kingono uarabuni?

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African
Simple: Ufukara, la sivyo hangeondoka.
 
MK254 mbona unauliza swali la.kimbweha sanaa ww jamaa .... Shida ni kwamba mlisha zoea na kukariri kwamba Tanzanian sio watu wa aggressive kusaka.fursa nje ya Tz...

Mzee we export expert tulisha anza ku force wenyewe raia
 
sijui kama umesomea migodi.unajua kazi ya uchimbaji ni taaluma unaweza kuhama sehemu yoyote na mshiko mzuri.
haya mimi na jamaa yangu anachimba USA naye utasema kaenda kuteseka.

nyie wakenya mnajiona special sana au ni kuulize kwa nini benki zenu zinakuja hapa tz zisibaki kenya !

Hizi taarifa mnazitoa wapi eti jamaa amesomea migodi mara ana-operate the most expensive machine in the world.
 
Back
Top Bottom