Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

1)Kutoka Mtwara kwenda Mozambique ni karibu kuliko Mtwara mpaka Geita ingawa ni ndani ya nchi

2) Kutoka Lungs Lunga kwenda Tanga ni karibu kuliko Lunga Lunga to Nairobi.

3)Kuna Mzambia pia yuko Burkina faso. Zambia mpaka Burkina ni mbali kuliko Tz to Burkina ila hujahoji Mzambia.

4) Mtu yuko chini zaidi ardhini zaidi ya m500 (0.5km). Hiyo unawezaleta picha kuwa labda utaalam wao hao watu 8 ndio umefanya waende chini zaidi.

5)Mgodi wakanada wanahusika hivyo itakuwa sio njaa kali. Halafu huko hajaenda na Tahmeed
 
Hizi taarifa mnazitoa wapi eti jamaa amesomea migodi mara ana-operate the most expensive machine in the world.
Kwahiyo unataka kusema huyo jamaa hana ndugu wanaomjua na wanajua education background yake??! au jamaa wanaomjua?! Pia unataka kusema huo mgodi haujulikani duniani?!
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African
Mining industry ya bongo sio ya kuchukulia poa
Kua na migodi mikubwa kunatufeva sana 'wabongo wapo hadi colombia Australia wanakoa mashine kama hawana akilinzuri vile mi sishangai hata
Yani wabongo na mining ni kama wakenya na ualimu abroad
 
wapo kwenye huku mkoani wanafundisha chekechea goma congo
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African
Unawachukia WaTz na Tz sijui walikukosea wapi?
Hushangai Wakenya waliopo nchi za wenyewe wanafanya nini?? Jibu wanatafuta maisha ama
Ulaaniwe wewe na kizazi chako una roho ya kisasi wivu ukabila unakusumbua
 
Aliyekuambia kufanya kazi mgodini ni kuteseka ni nani?

JIBU:Kilichomfanya aende Burkina Faso ni kusaka Greener pastures.

Una swali jingine?
 
Aha! Wala... Nimeleta taarifa za Mtanzania aliyekwama kwenye mgodi wa watu nchi ya mbali huko Burkina Faso, nikaweka kabisa na chanzo cha habari, kisha nikahoji nini kinasababisha Watanzania waache migodi yao mingi tu waende kuteseka kwenye migodi iliyo huko mbali, wewe ukasema huyo alikua operator wa mashini yenye gharama ya bilioni 2.5 bila chanzo cha taarifa yako hiyo, so mpotoshaji nani hapo.
Kwan migodi iliypo tanzania inatosha kuajiri watanzania wote?
 
Mkuu...

Bado naendelea kukwambia kwamba wewe ni mpotoshaji, yaani unajaribu kupindisha uongo ili ufanane na ukweli.

Hiyo link unayo nitaka niisome imezungumzia wachimbaji wadogo wadogo/yaani uchimbaji wa kienyeji usio hitaji utaalamu ambapo yeyote anaweza akafanya.

Hii ajali ya Perkoa imetokea kwenye mgodi wa Zinc. Ni mgodi wa kisasa na wanatumia mashine za kisasa kwenye uchimbaji.

Na huyo mtanzania alie kwama kwenye mgodi ule alikua anaopareti mtambo wa bei ghali (kwa makadirio ya chini kabisa huo mtambo unaweza ukawa bilioni 2.5 pesa ya kitanzania)

Narudia kukwambia kwamba ebu acha upotoshaji mkuu
Kweli nyani haoni kundule, Yafaa umkumbushe huyo mzee wakenya wanateseka na kufia Nchi za uarabuni eti ni domestic workers.
 
Watakwambia Tanzania isi a country of milki and hane. We donti go outside to luku fo manual wek.

Wao hutaka tuamini kwamba kwao wana kila kitu hadi madini ya kumwaga, sasa kinachosababisha wakateseke kusaka madini kwenye nchi za watu kinashangaza.
Kuna siku Magufuli aliuliza hilo swali.
 
sasa wewe ultaka aende Turkana afe na njaa au aende kibera afe na kipindupindu
 
Wengi wanateseka sana kwenye migodi ya nchi za watu Sakata la kufukuzwa watanzania katika machimbo nchini Msumbiji
Hiyo habari ya Msumbiji uliyoikomalia inazungumzia wachimbaji wadogo wanaotumia zana duni mara nyingi bila hata leseni.

Huyo Mtanzania aliyekwama Burkina Faso ni muajiriwa kwenye kampuni ya kimataifa ya kuchimba madini.

Umeiona tofauti?

Mfano hata hapa bongo kuna wazungu (professionals) waajiriwa kwenye migodi,kwa hiyo kwa akili yako unajua wanateseka!😁.
 
Hiyo habari ya Msumbiji uliyoikomalia inazungumzia wachimbaji wadogo wanaotumia zana duni mara nyingi bila hata leseni.

Huyo Mtanzania aliyekwama Burkina Faso ni muajiriwa kwenye kampuni ya kimataifa ya kuchimba madini.

Umeiona tofauti?

Mfano hata hapa bongo kuna wazungu (professionals) waajiriwa kwenye migodi,kwa hiyo kwa akili yako unajua wanateseka![emoji16].

alafu tunao hapa kanda ya ziwa tupo nao porini.ili likenya kwao hakuna hata sehemu ya kulima na kuchimba madini ndio maana anaumia
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African
2833755_FB_IMG_1612420221935.jpg

CC: Ushimen huyu jamaa is a JF pumpkin. No one is taking him serious.

Nimetembelea website ya ile kampuni. Nashangaa anaanzeje kusema anateseka wakati the guy was employed as an expert.
 
Naomba nikujibu kwa kifupi sana.

Sababu kubwa ni maslahi, kwani yule mTanzania ni mtaalamu wa kuopareti moja kati ya motambo ghali sana migodini na duniani kwa ujumla. Nafikiri kule alikua analipwa mshahara kati ya milioni 25-30 pesa ya Kitanzania.

Na kilicho tokea huko Burkina Faso kinaweza kutokea hata kwenye migodi ya hapa Tanzania.

Hivyo basi, naomba niseme kwamba wewe unajaribu kupotosha ukweli kwa kuandika kwamba (mtanzania alienda kwenye mgodi wa Perkoa kiteseka)
Uko sahihi sana bro. Kuna Watanzania wengi sana kwenye migodi Burkina Faso, Mali, DRC na kwingineko, ambao wamekwenda kusaka maisha baaya ya migodi yetu kadhaa kama Bulyanhulu, Tulawaka, Buzwagi, Resolute nk kufungwa. Kule wamekwenda kama wataalamu, kwa hio wanalipwa pesa nzuri.
 
View attachment 2214246

CC: Ushimen huyu jamaa is a JF pumpkin. No one is taking him serious.

Nimetembelea website ya ile kampuni. Nashangaa anaanzeje kusema anateseka wakati the guy was employed as an expert.
Nikweli nimeamini mleta mada anawivu na waTanzania, napia hajui soko la wataalamu kwenye Mining Industry especially mtu anapokua expert
 
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.

===========

Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine​

  • The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.
  • The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp.
  • Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.
Hope is slowly fading that the eight workers, including a Tanzanian, trapped inside a flooded mine in Burkina Faso will be rescued alive, a diplomat has said.

The eight—a Tanzanian, Zambian and six locals—have been trapped for two weeks at the Perkoa zinc mine.

On Tuesday, Dr Benson Bana, Tanzania’s High Commissioner to Nigeria and the entire Economic Community of West African States (Ecowas), said the rescuing mission was still ongoing.

He said rainwater began filling the mine when the workers were 500 metres below the ground.

“The embassy is still following up very closely on the rescuing mission. Burkina Faso Prime Minister visited the site recently and he also expressed concerns about the safety standard of the mine even before the disaster happened,” said Dr Bana.

Sources said the trapped people could be running out of oxygen and water, and that it was also difficult to supply food them.

The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which caused flooding at the mine.

The mine is owned by a Canadian-based firm Trevali Mining Corp. Sources say that officials from the firm have been barred from leaving the West African country as investigation into the incident are conducted.

Source: The East African

Hali na mazingira yalivyo ktk Mgodi wa kisasa nchini Mali, viongozi wa serikali na kampuni wakiwa eneo la ajali

Back
Top Bottom