Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

1)Kutoka Mtwara kwenda Mozambique ni karibu kuliko Mtwara mpaka Geita ingawa ni ndani ya nchi

2) Kutoka Lungs Lunga kwenda Tanga ni karibu kuliko Lunga Lunga to Nairobi.


3)Kuna Mzambia pia yuko Burkina faso. Zambia mpaka Burkina ni mbali kuliko Tz to Burkina ila hujahoji Mzambia.

4) Mtu yuko chini zaidi ardhini zaidi ya m500 (0.5km). Hiyo unawezaleta picha kuwa labda utaalam wao hao watu 8 ndio umefanya waende chini zaidi.

5)Mgodi wakanada wanahusika hivyo itakuwa sio njaa kali. Halafu huko hajaenda na Tahmeed
 
Hizi taarifa mnazitoa wapi eti jamaa amesomea migodi mara ana-operate the most expensive machine in the world.
Kwahiyo unataka kusema huyo jamaa hana ndugu wanaomjua na wanajua education background yake??! au jamaa wanaomjua?! Pia unataka kusema huo mgodi haujulikani duniani?!
 
Mining industry ya bongo sio ya kuchukulia poa
Kua na migodi mikubwa kunatufeva sana 'wabongo wapo hadi colombia Australia wanakoa mashine kama hawana akilinzuri vile mi sishangai hata
Yani wabongo na mining ni kama wakenya na ualimu abroad
 
Mining industry ya bongo sio ya kuchukulia poa
Kua na migodi mikubwa kunatufeva sana 'wabongo wapo hadi colombia Australia wanakoa mashine kama hawana akilinzuri vile mi sishangai hata
Yani wabongo na mining ni kama wakenya na ualimu abroad

wapo kwenye huku mkoani wanafundisha chekechea goma congo
 
Unawachukia WaTz na Tz sijui walikukosea wapi?
Hushangai Wakenya waliopo nchi za wenyewe wanafanya nini?? Jibu wanatafuta maisha ama
Ulaaniwe wewe na kizazi chako una roho ya kisasi wivu ukabila unakusumbua
 
Aliyekuambia kufanya kazi mgodini ni kuteseka ni nani?

JIBU:Kilichomfanya aende Burkina Faso ni kusaka Greener pastures.

Una swali jingine?
 
Kwan migodi iliypo tanzania inatosha kuajiri watanzania wote?
 
Kweli nyani haoni kundule, Yafaa umkumbushe huyo mzee wakenya wanateseka na kufia Nchi za uarabuni eti ni domestic workers.
 
Watakwambia Tanzania isi a country of milki and hane. We donti go outside to luku fo manual wek.

Wao hutaka tuamini kwamba kwao wana kila kitu hadi madini ya kumwaga, sasa kinachosababisha wakateseke kusaka madini kwenye nchi za watu kinashangaza.
Kuna siku Magufuli aliuliza hilo swali.
 
Wao hutaka tuamini kwamba kwao wana kila kitu hadi madini ya kumwaga, sasa kinachosababisha wakateseke kusaka madini kwenye nchi za watu kinashangaza.
Kuna siku Magufuli aliuliza hilo swali.
sasa wewe ultaka aende Turkana afe na njaa au aende kibera afe na kipindupindu
 
Wengi wanateseka sana kwenye migodi ya nchi za watu Sakata la kufukuzwa watanzania katika machimbo nchini Msumbiji
Hiyo habari ya Msumbiji uliyoikomalia inazungumzia wachimbaji wadogo wanaotumia zana duni mara nyingi bila hata leseni.

Huyo Mtanzania aliyekwama Burkina Faso ni muajiriwa kwenye kampuni ya kimataifa ya kuchimba madini.

Umeiona tofauti?

Mfano hata hapa bongo kuna wazungu (professionals) waajiriwa kwenye migodi,kwa hiyo kwa akili yako unajua wanateseka!😁.
 

alafu tunao hapa kanda ya ziwa tupo nao porini.ili likenya kwao hakuna hata sehemu ya kulima na kuchimba madini ndio maana anaumia
 


CC: Ushimen huyu jamaa is a JF pumpkin. No one is taking him serious.

Nimetembelea website ya ile kampuni. Nashangaa anaanzeje kusema anateseka wakati the guy was employed as an expert.
 
Uko sahihi sana bro. Kuna Watanzania wengi sana kwenye migodi Burkina Faso, Mali, DRC na kwingineko, ambao wamekwenda kusaka maisha baaya ya migodi yetu kadhaa kama Bulyanhulu, Tulawaka, Buzwagi, Resolute nk kufungwa. Kule wamekwenda kama wataalamu, kwa hio wanalipwa pesa nzuri.
 
View attachment 2214246

CC: Ushimen huyu jamaa is a JF pumpkin. No one is taking him serious.

Nimetembelea website ya ile kampuni. Nashangaa anaanzeje kusema anateseka wakati the guy was employed as an expert.
Nikweli nimeamini mleta mada anawivu na waTanzania, napia hajui soko la wataalamu kwenye Mining Industry especially mtu anapokua expert
 

Hali na mazingira yalivyo ktk Mgodi wa kisasa nchini Mali, viongozi wa serikali na kampuni wakiwa eneo la ajali



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…