Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Na ni zaidi ya hivyo mkuu 'lusahoko'.
CCM hawataki kuondoka madarakani; wanatumia kila mbinu waendelee kubaki hapo hapo. Hili ndilo tatizo litakalo lazimisha watolewe hata kwa kutumia nguvu.
Vyama vya upinzani hakuna hata kimoja kilicho hodhi kubaki madarakani kwa nguvu.
mnadanganyana na kupeana moyo kikatili sana dah 🤣
 
kuwa vigeugeu na matukio hivyo kutoeleweka
kwamba leo wanadai katiba wanaachia njiani, kesho wanadai bei ya maharage ishuke, wanaacha keshokutwa wanadai maandamano tena wanaacha right?🤣

yaani hawajui hata wanadai au kutetea nini,dah 🐒
 
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.

Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisa wapinzani na kwamba ni watu wasioaminika tena?🐒
Hawajapewa nafasi ya kuongoza serikali, kwa hiyo hatuwezi kuwahukumu. Wapewe nafasi ndipo tuwafanyie evaluation.
 
Kutuahidi posa-hewa kila baada ya miaka 5 kwamba wanachukua nchi na kuunda serikali, huku wakiishia tu kukomba ruzuku na kuunda purukushani vyamani.

Tuko tumekaa palee tunawachora tu wakijiandaa kutunadia mbwembwe zingine kibao mwaka huu na mwa
sasa watu wasio na dira, mipango wala uelekeo wataeleweka au kuaminika kwa nani kwa mfano, hata wakabidhiwe dhamana nzito na muhimu kama kuongoza mtaa,kata, jimbo au nchi kwa mustakabali wa maisha yao?🐒
V
kwamba leo wanadai katiba wanaachia njiani, kesho wanadai bei ya maharage ishuke, wanaacha keshokutwa wanadai maandamano tena wanaacha right?🤣

yaani hawajui hata wanadai au kutetea nini,dah 🐒
Vyote vinatakiwa kwakuwa vyote vimeharibiwa na CCM. Kwa neno lililonenwa na nabii. "Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake"
 
Hawajapewa nafasi ya kuongoza serikali, kwa hiyo hatuwezi kuwahukumu. Wapewe nafasi ndipo tuwafanyie evaluation.
nini kinasababisha wasiaminiwe na kupewa sasa hiyo serikali ya kupewa?🐒
 
Usisumbuke na timu, mimi nipo hapa hapa nawe hadi kieleweke.
nina kazi nyingi za kufanya ikiwa ni pamoja na kuandaa makala ntakayo iweka humu jukwaani muda usio kua mrefu ujao 🐒

usilale, nazungumza kidogo na kuna wageni kidogo hapa nyumbani 🐒
 
nina kazi nyingi za kufanya ikiwa ni pamoja na kuandaa makala ntakayo iweka humu jukwaani muda usio kua mrefu ujao 🐒

usilale, nazungumza kidogo na kuna wageni kidogo hapa nyumbani 🐒
Nimekwisha kujuwa vyema sana, kwa hiyo usihangaike na kujieleza kwangu kuhusu unakopata hizo takataka zote.
 
Back
Top Bottom