Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

mnadanganyana na kupeana moyo kikatili sana dah 🀣
 
kuwa vigeugeu na matukio hivyo kutoeleweka
kwamba leo wanadai katiba wanaachia njiani, kesho wanadai bei ya maharage ishuke, wanaacha keshokutwa wanadai maandamano tena wanaacha right?🀣

yaani hawajui hata wanadai au kutetea nini,dah πŸ’
 
Hawajapewa nafasi ya kuongoza serikali, kwa hiyo hatuwezi kuwahukumu. Wapewe nafasi ndipo tuwafanyie evaluation.
 
Kutuahidi posa-hewa kila baada ya miaka 5 kwamba wanachukua nchi na kuunda serikali, huku wakiishia tu kukomba ruzuku na kuunda purukushani vyamani.

Tuko tumekaa palee tunawachora tu wakijiandaa kutunadia mbwembwe zingine kibao mwaka huu na mwa
sasa watu wasio na dira, mipango wala uelekeo wataeleweka au kuaminika kwa nani kwa mfano, hata wakabidhiwe dhamana nzito na muhimu kama kuongoza mtaa,kata, jimbo au nchi kwa mustakabali wa maisha yao?πŸ’
V
kwamba leo wanadai katiba wanaachia njiani, kesho wanadai bei ya maharage ishuke, wanaacha keshokutwa wanadai maandamano tena wanaacha right?🀣

yaani hawajui hata wanadai au kutetea nini,dah πŸ’
Vyote vinatakiwa kwakuwa vyote vimeharibiwa na CCM. Kwa neno lililonenwa na nabii. "Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake"
 
Hawajapewa nafasi ya kuongoza serikali, kwa hiyo hatuwezi kuwahukumu. Wapewe nafasi ndipo tuwafanyie evaluation.
nini kinasababisha wasiaminiwe na kupewa sasa hiyo serikali ya kupewa?πŸ’
 
Usisumbuke na timu, mimi nipo hapa hapa nawe hadi kieleweke.
nina kazi nyingi za kufanya ikiwa ni pamoja na kuandaa makala ntakayo iweka humu jukwaani muda usio kua mrefu ujao πŸ’

usilale, nazungumza kidogo na kuna wageni kidogo hapa nyumbani πŸ’
 
nina kazi nyingi za kufanya ikiwa ni pamoja na kuandaa makala ntakayo iweka humu jukwaani muda usio kua mrefu ujao πŸ’

usilale, nazungumza kidogo na kuna wageni kidogo hapa nyumbani πŸ’
Nimekwisha kujuwa vyema sana, kwa hiyo usihangaike na kujieleza kwangu kuhusu unakopata hizo takataka zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…