Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mmiliki wa bandari ya TPA ni mimi na wewe ambao ni wale wale tuliokuwa wamiliki wakati ikiendeshwa na TICTS kwa kipindi cha miaka 20.Huwa nina kawaida ya kuongea au kuwasilisha nilichokiona au nilichokidadisi, watanganyika kwa Sasa hamna chenu kwenye bandari au unataka tuanze kubishana Mimi na wewe kuhusu mnufaika mkuu wa mkataba wa DP World ni nani?? Sina huo muda nenda kajadiliane na chawa mwenzio Mwashambwa.
Chuki na ubaguzi mko navyo nyie machawa, maana mmeamua kuzitupa akili zenu chooni na kutetea uozo wowote unaofanywa na serikali ya sita mathalan tu Kila mnanufaika nyie na familia zenu.... Na mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na nyie mnamuona adui wa mama yenu, wapuuzi sana nyie
Na tutaendelea kuwa mimi na wewe baada ya DPW kumaliza mkataba wake. Kuza kwanza uelewa wako kuliko kutegemea hizi habari za udaku zenye kuongezewa chumvi nyingi kwa sababu wanaozianzisha wamejawa na roho za chuki za kishamba.