Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

Ni kazi ya CDF kufukuza hao watumishi wa umma? Huyo mama kutochukua hatua ni ishara alichosema CDF ni uongo? Kwani CDF alichosema ni maoni yake binafsi, au ni tamko la taasisi?

You tell me kama ni maoni yake au taasisi. TZ ina mianya mingi ila kumpa uongozi mtu asiyekuwa mtz is not one of them. Watu wote bado wanapiga kazi maza alipuuza habari za vijiweni za CDF pale pale.
 
Kama raia tu anajua kuna wanyarwanda kwenye taasisi zetu nyeti, idara ya usalama wa taifa wao wanasemaje kuhusu hili?

Raia wanajaza habari za vijiweni wanaamini wanachotaka kuamini. Wewe ukiulizwa taja mrwanda mmoja kwenye serikali ya JMT unalo jibu?

CDF alisema kuna warwanda ndani ya serikali miaka miwili iliyopita hadi leo kashindwa kutaja hata mmoja, kama hizo sio story za vijiweni ni nini?
 
Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo.

Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii akijibu hoja na maswali mbali mbali kwa namna ya uharaka aliouonesha kwenye jambo hili.

Rwanda ni nchi ambayo kijografia, inaifanya kutegemea nchi nyingine ili kupata mizigo yake inayopitia baharini.

Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria.

Siku za nyuma Rwanda baada ya DRC ndiyo ilikuwa nchi inayoitegemea Bandari ya Dar es salaam kusafirishia mizigo yake kutoka na kwenda Rwanda.

Lakini baadae Rwanda ikaleta sera kwamba nchi hiyo isiwe tegemezi wa kupitishia mizigo kwenye nchi moja. Hivyo ikaanza kupitishia mizigo yake na Kenya pia.

Lakini ndani ya mwaka mmoja mambo haya yametokea. Kwanza shehena ya mizigo kupitia Kenya imeongezeka na mizigo inayopitia Tanzania imepungua.

Mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 121.45 sawa ongezeko la asilimia 361.43 (361.43%) imepitia Kenya ukilinganisha na Oktoba Mwaka jana 2023.

Idadi hiyo ya mizigo kupitia Kenya unaifanya nchi hiyo kuwa ya pili nyuma ya China ambayo imeingiza Rwanda mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani 142.08 sawa na ongezeko la 34.95% .

Kwa Tanzania uingizaji wa mizigo Rwanda kupitia Tanzania umekuwa ukipungua kwa karibia 39.04% kwa msingi wa mwezi kwa mwezi na kwa mwaka mzima uingizaji mizigo Rwanda kupitia Tanzania umepungua kwa 30.16%.

Ukilinganisha Mwezi Oktoba 2023, Rwanda imepitishia Tanzania Mizigo yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 57.38 pekee.

Wazee wa kushinda 99% nini kinaendelea hapa.

Home Business & TechEconomy Rwanda Now Prefers to Import from Kenya, Not Tanzania
Economy
Rwanda Now Prefers to Import from Kenya, Not Tanzania
written by KT Press Staff Writer December 6, 20241:48 pm
199
Shares
facebook sharing buttontwitter sharing buttonwhatsapp sharing buttonsharethis sharing button
Mombasa port-Kenya
Rwanda has made a surprising shift in its trading preferences, with Kenya overtaking Tanzania to become the country’s second-largest source of imports after China.

This marks a significant change in the regional trade dynamics, as Tanzania had long been Rwanda’s primary partner due to its geographical proximity and the role of the Dar es Salaam port.

According to the October 2024 Formal External Trade in Goods report by the National Institute of Statistics of Rwanda (NISR), imports from Kenya reached $121.45 million, representing a 361.43% increase compared to October 2023.

This places Kenya behind only China, which accounted for $142.08 million in imports, a 34.95% rise over the same period. In contrast, imports from Tanzania fell to $57.38 million, marking a 39.04% month-to-month decline and a 30.16% year-on-year decrease.

Several factors appear to be driving Rwanda’s growing preference for Kenya as an import partner.

Rwanda and Kenya have strengthened ties, influenced by improved relations and efforts to reduce trade barriers. In contrast, tensions in the region may have reduced Rwanda’s reliance on Tanzania as a transit route.

Rwanda’s government has encouraged diversification of trade routes to mitigate risks associated with over-reliance on a single country. The Northern Corridor, which runs through Kenya, is increasingly being utilized for imports.

The shift in Rwanda’s trade dynamics with Tanzania is further complicated by rising trade tensions, particularly surrounding Rwanda’s dairy exports. Tanzania has recently imposed various Non-Tariff Barriers (NTBs) on Rwandan milk, disrupting a historically vital trade relationship.

Tanzania has reportedly blocked the entry of Rwandan milk under the guise of meeting local regulatory and quality standards. These barriers have effectively shut out Rwandan dairy products from Tanzanian markets, despite Rwanda meeting East African Community (EAC) standard
 
Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo.

Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii akijibu hoja na maswali mbali mbali kwa namna ya uharaka aliouonesha kwenye jambo hili.

Rwanda ni nchi ambayo kijografia, inaifanya kutegemea nchi nyingine ili kupata mizigo yake inayopitia baharini.

Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria.

Siku za nyuma Rwanda baada ya DRC ndiyo ilikuwa nchi inayoitegemea Bandari ya Dar es salaam kusafirishia mizigo yake kutoka na kwenda Rwanda.

Lakini baadae Rwanda ikaleta sera kwamba nchi hiyo isiwe tegemezi wa kupitishia mizigo kwenye nchi moja. Hivyo ikaanza kupitishia mizigo yake na Kenya pia.

Lakini ndani ya mwaka mmoja mambo haya yametokea. Kwanza shehena ya mizigo kupitia Kenya imeongezeka na mizigo inayopitia Tanzania imepungua.

Mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 121.45 sawa ongezeko la asilimia 361.43 (361.43%) imepitia Kenya ukilinganisha na Oktoba Mwaka jana 2023.

Idadi hiyo ya mizigo kupitia Kenya unaifanya nchi hiyo kuwa ya pili nyuma ya China ambayo imeingiza Rwanda mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani 142.08 sawa na ongezeko la 34.95% .

Kwa Tanzania uingizaji wa mizigo Rwanda kupitia Tanzania umekuwa ukipungua kwa karibia 39.04% kwa msingi wa mwezi kwa mwezi na kwa mwaka mzima uingizaji mizigo Rwanda kupitia Tanzania umepungua kwa 30.16%.

Ukilinganisha Mwezi Oktoba 2023, Rwanda imepitishia Tanzania Mizigo yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 57.38 pekee.

Wazee wa kushinda 99% nini kinaendelea hapa.
Simple.
Wizi, kutokuwajibika, rushwa, kufanya kazi kwa mazoea....
 
Raia wanajaza habari za vijiweni wanaamini wanachotaka kuamini. Wewe ukiulizwa taja mrwanda mmoja kwenye serikali ya JMT unalo jibu?

CDF alisema kuna warwanda ndani ya serikali miaka miwili iliyopita hadi leo kashindwa kutaja hata mmoja, kama hizo sio story za vijiweni ni nini?
Kama unafahamu maana CDF huwezi kusema ni story za vijiweni.
 
Serikali ya Rwanda inaongozwa na watu makini wenye maono wasiokurupuka, na wakifanya maamuzi ya jambo fulani lazima liwe na faida hata kama sio kwa muda huo, so wao kuikimbia hii bandari ya warabu(nasema ya warabu kwa sababu watanganyika hamna chenu Sasa hivi pale) lazima Kuna dosari kubwa sana wameziona ambazo serikali yetu hii kichwa Cha mwendawazimu inayolindwa na machawa haiwezi kuziona,

Hongera sana raisi Kageme hakika wewe ndio chaguo la Mungu kwa afrika hii
 
Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo.

Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii akijibu hoja na maswali mbali mbali kwa namna ya uharaka aliouonesha kwenye jambo hili.

Rwanda ni nchi ambayo kijografia, inaifanya kutegemea nchi nyingine ili kupata mizigo yake inayopitia baharini.

Kwa kifupi Rwanda haina bahari na kwa ivo haina bandari ya baharini. Bandari za Rwanda ni zile zilizoko kwenye ziwa Viktoria.

Siku za nyuma Rwanda baada ya DRC ndiyo ilikuwa nchi inayoitegemea Bandari ya Dar es salaam kusafirishia mizigo yake kutoka na kwenda Rwanda.

Lakini baadae Rwanda ikaleta sera kwamba nchi hiyo isiwe tegemezi wa kupitishia mizigo kwenye nchi moja. Hivyo ikaanza kupitishia mizigo yake na Kenya pia.

Lakini ndani ya mwaka mmoja mambo haya yametokea. Kwanza shehena ya mizigo kupitia Kenya imeongezeka na mizigo inayopitia Tanzania imepungua.

Mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 121.45 sawa ongezeko la asilimia 361.43 (361.43%) imepitia Kenya ukilinganisha na Oktoba Mwaka jana 2023.

Idadi hiyo ya mizigo kupitia Kenya unaifanya nchi hiyo kuwa ya pili nyuma ya China ambayo imeingiza Rwanda mizigo yenye thamani ya Dola za Kimarekani 142.08 sawa na ongezeko la 34.95% .

Kwa Tanzania uingizaji wa mizigo Rwanda kupitia Tanzania umekuwa ukipungua kwa karibia 39.04% kwa msingi wa mwezi kwa mwezi na kwa mwaka mzima uingizaji mizigo Rwanda kupitia Tanzania umepungua kwa 30.16%.

Ukilinganisha Mwezi Oktoba 2023, Rwanda imepitishia Tanzania Mizigo yenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 57.38 pekee.

Wazee wa kushinda 99% nini kinaendelea hapa.
Hapo mwisho sasa kwenye wazee wa kushinda 99% kimekuwa kichekesho.
 
Mkuu nafahamu ninachokiongea, hizo bandari zote nazijua utendaji wake tangu enzi za East African Harbours Cooperation. Halafu gundua tu kuwa kijiweni kuna taarifa za ukweli zisizo rasmi.... Hiyo ndio tofauti!.
Hauna uwezo wa kujua kinachoendelea kulinganisha na meneja wa bandari anayejua shughuli zote za hapo TPA pamoja na wote walioingia mikataba na hao DPW pamoja na Adani.

Stori za vijiweni zinazungusha habari za kijinga vichwani mwetu pia zinalemaza ubongo.
 
Serikali ya Rwanda inaongozwa na watu makini wenye maono wasiokurupuka, na wakifanya maamuzi ya jambo fulani lazima liwe na faida hata kama sio kwa muda huo, so wao kuikimbia hii bandari ya warabu(nasema ya warabu kwa sababu watanganyika hamna chenu Sasa hivi pale) lazima Kuna dosari kubwa sana wameziona ambazo serikali yetu hii kichwa Cha mwendawazimu inayolindwa na machawa haiwezi kuziona,

Hongera sana raisi Kageme hakika wewe ndio chaguo la Mungu kwa afrika hii
Watanganyika hamna chenu!, siasa zile zile za vijiweni za kupenda kusambaza umbea ambao mtu hana uelewa wala taarifa za kina.

TICTS walikaa pale kuanzia 2001 mpaka 2020 na wao walikuwa na chao cha moja kwa moja?. Chuki pamoja na ubaguzi vinatutesa sana.
 
Tanganyika Barabara zimekuwa mbovu malori yao yanaanguka Kila siku
 
Hauna uwezo wa kujua kinachoendelea kulinganisha na meneja wa bandari anayejua shughuli zote za hapo TPA pamoja na wote walioingia mikataba na hao DPW pamoja na Adani.

Stori za vijiweni zinazungusha habari za kijinga vichwani mwetu pia zinalemaza ubongo.
Huyo meneja wa bandari anaishi mbinguni jomba? Hiyo mikataba na mipango ya kampuni anaifanya peke yake? Huko ofisini kwake ni kama safe anafungia kila kitu na kurudi zake mbinguni mpaka siku inayofuata?

Mkuu kichwa hakibebi nywele peke yake, ndani yake kuna ubongo, kiungo muhimu sana kwa binadamu.... Kitumie vizuri!
 
Bandari za Rwanda ni zile zilizoko ziwa Victoria????...sjaelewa hapa ..
Dadavua...uhusiano wa ziwa Victoria na Rwanda
 
Kwani mama yenu Hilo hajaliangalia ama ameacha Tena kuifungua nchi ili hewa Na uchafu wote uingie?
 
Kama unafahamu maana CDF huwezi kusema ni story za vijiweni.

Toka amesema nani katolewa serikalini kwa hizo tuhuma? Mtaje mmoja tu. Vinginevyo ujue boss wa CDF alipuuza hizo story za vijiweni.
 
Watanganyika hamna chenu!, siasa zile zile za vijiweni za kupenda kusambaza umbea ambao mtu hana uelewa wala taarifa za kina.

TICTS walikaa pale kuanzia 2001 mpaka 2020 na wao walikuwa na chao cha moja kwa moja?. Chuki pamoja na ubaguzi vinatutesa sana.
Huwa nina kawaida ya kuongea au kuwasilisha nilichokiona au nilichokidadisi, watanganyika kwa Sasa hamna chenu kwenye bandari au unataka tuanze kubishana Mimi na wewe kuhusu mnufaika mkuu wa mkataba wa DP World ni nani?? Sina huo muda nenda kajadiliane na chawa mwenzio Mwashambwa.

Chuki na ubaguzi mko navyo nyie machawa, maana mmeamua kuzitupa akili zenu chooni na kutetea uozo wowote unaofanywa na serikali ya sita mathalan tu Kila mnanufaika nyie na familia zenu.... Na mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na nyie mnamuona adui wa mama yenu, wapuuzi sana nyie
 
Kwa nini Tanganyika ikitajwa huwa naona kama vile watu huchachamaa ghafla?
 
Machawa kutoka Tanganyika wanaojipendekeza kwa huyu bibi wa kizanzibar ndio huwa wanahemkwa sana, na wakati wazanzibari wenyewe huwa wanapenda sana sisi kujitambulisha kama watanganyika na wenyewe kama wazanzibari... Maana ndio uhalisia wenyewe
 
Back
Top Bottom