Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175.
Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha hizo kulipia madeni, kuongeza uwekezaji Tanzania na mgao kwa serikali ya Tanzania
Dili hilo litamruhusu Airtel kuendelea na shughuli zake kwenye minara hiyo lakini sasa akiwa amekodi nafasi.
Nini kimeikumba Bhati Airtel iliyowahi kutamba na Msudan Mo Ibrahim kama Celtel na kuwa 'The world's first borderless network' Afrika Mashariki?