Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ni kataahira hako achana nakoSo Tigo na Vodacom waliouza Enzi za Mzee wa Msoga nani aliwabana?[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kataahira hako achana nakoSo Tigo na Vodacom waliouza Enzi za Mzee wa Msoga nani aliwabana?[emoji23][emoji23]
Mkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150Running cost ni kubwa, wamewauzia RAHA TOWER .
Pia wameuza ghorofa lau pale morocco kwa dola milioni 172.
![]()
Airtel Africa sells Tanzania towers at $175 million
Airtel Africa PLC has on Wednesday June 2, said that it has agreed to sell Airtel Tanzania's tower portfolio to a joint venture owned by a subsidiary of SBA Communications Corp. and Paradigm...www.thecitizen.co.tz
Hii tofauti mkuu, Airtel mwanzo alikuwa mmiliki wa minara, ameamua kuiuza na kuwa mpangaji. Ni sawa na wewe ujenge nyumba, uamue kuiuza kisha umwambie uliyemuuzia akupangishe.
Lisu amenogeshwa hatari na wala mashoga huko ulaya
Kidhungu kilikuja na meliMkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150
Hamjioni kuwa mnaonekana wajinga!Lisu amenogeshwa hatari na wala mashoga huko ulaya
Hiyo kampuni tusisahau serikali ina hisa nyingi baada ya kupsmbana na wahindi waliyopora hiyo kampuni ya serikali awali. Sasa pengine ni janja ya hao wahindi kuiacha tena kapa hiyo kampuni.Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175.
Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha hizo kulipia madeni, kuongeza uwekezaji Tanzania na mgao kwa serikali ya Tanzania
Dili hilo litamruhusu Airtel kuendelea na shughuli zake kwenye minara hiyo lakini sasa akiwa amekodi nafasi.
Nini kimeikumba Bhati Airtel iliyowahi kutamba na Msudan Mo Ibrahim kama Celtel na kuwa 'The world's first borderless network' Afrika Mashariki?
Kampuni za Mawasiliano Tz ni TTCL pekee inayomiliki MinaraHii tofauti mkuu, Airtel mwanzo alikuwa mmiliki wa minara, ameamua kuiuza na kuwa mpangaji. Ni sawa na wewe ujenge nyumba, uamue kuiuza kisha umwambie uliyemuuzia akupangishe.
Kwahiyo hiyo minara 1400 ambayo wameuza Airtel sio Yao.Kampuni za Mawasiliano Tz ni TTCL pekee inayomiliki Minara
Hata me nimeshngaa sana sio masihara jengo la usd milion 170+.........Mkuu umechanganya, hawajauza jengo, wameuza minara. Jengo la Airtel haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 400 ilhali jengo refu zaidi Tanzania thamani yake haifiki bilioni 150
UjingaDikteta aliwabana sn kwenye haya makodi kibao
Yaani baada ya wao kuuzaKwahiyo hiyo minara 1400 ambayo wameuza Airtel sio Yao.