Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

Hapa mi najiuliza. Kama kupaendesha patakugharimu tsh 20 na ukipanga unapalipia tsh10 wakati uliyemuuzia anapaendesha kwa gharama zilezile ambazo umezikwepa wewe. Je nikivipi atapata faida?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Swali zuri.

Yeye ukishamuuzia anaongea na wenzako wengine kisha wanakuwa wapangaji wake, Kwa hiyo kwenye mnara mmoja unakuta wapangaji kama Voda, Tigo, Halotel, Smart, watu wa Radio na TV etc..

Hivyo yeye atatumia Tsh.20 operating cost ambayo ni fixed hata kama ungekuwa mwenyewe ila anaweza kutengeneza mpaka Tsh. 50, faida yake Tsh. 30
 
Mpaka jengo lao HQ pale Morocco wameuzia hiyo kampuni ila wanaendelea kupanga hapo. Mammo ni mnene na makubwa.
 
celtel,zantel,airtel(yenyewe yote majina yake)...ccm mbele kwambele ,tuliipenda wenyewe
 
Haiwezi kuwa technique ya kukwepa kodi hii?
Hapa kunawawekezaji wawili ,ambao ni kampuni binafsi(nimesahau jina)na serikali yenyewe ,sasa tuseme serikali imefilisika au imejifilisi ,ili ijikwepe KODI yetu.aise
 
Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175.

Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha hizo kulipia madeni, kuongeza uwekezaji Tanzania na mgao kwa serikali ya Tanzania

Dili hilo litamruhusu Airtel kuendelea na shughuli zake kwenye minara hiyo lakini sasa akiwa amekodi nafasi.

Nini kimeikumba Bhati Airtel iliyowahi kutamba na Msudan Mo Ibrahim kama Celtel na kuwa 'The world's first borderless network' Afrika Mashariki?
Uwekezaji wa Mhindi siku zote huwa na konakona nyingi.kifupi sishangai
 
Makodi yapi?

Acha ujuha kijana!

Ifike wakati CHADEMA mrudi kama zama za Dr. Slaa na kuanza kuona kwamba haya makampuni yapo kwa maslahi yao. Airtel ina tuhuma kibao za kukwapua mtaji toka kampuni ya TTCL, nyie vijana wa Bavicha mliobalehe juzi mkiona haya mambo mnahisi Magufuli alikuwa anataka ili hizo kampuni zife.

Ifike wakati nyie washabiki wajinga wajinga wa chadema muone kwamba kampuni kama airtel haiwezi kufa kisa kodi maanaake wakiamua kukuibia wewe mbugila mbugila sh. 1 tu kwa kila mteja wanakuwa tayari wameshapata hela ya kulipa kodi.

Ifike wakati nyie washabiki wajinga wajinga wa chadema mnapotoa hoja humu muwe mnaleta na mchanganuo wa hizo kodi zilizofanya wauze minara yao.
Mada haijazungumziwa chama,imezungumzwa Airtel,kwa Nini Kila wakati unaweka uchama tu?
Haya ni masuala ya kutaifa,kwenye masuala ya kutaifa wote ni watanzania,hatuangalii chama tunaangalia utaifa kwanza.
 
Kampuni ya simu za mikononi ya Aitel imeuza minara yake yote 1,400 iliyoko nchini Tanzania kwa kampuni ya mawasiliano kutoka Uingereza ya SBA inayoongoza duniani kwa kuendesha mifumo ya 'wireless' kwa dola za Kimarekani milioni 175.

Katika taarifa yake Airtel imesema itatumia baadhi ya fedha hizo kulipia madeni, kuongeza uwekezaji Tanzania na mgao kwa serikali ya Tanzania

Dili hilo litamruhusu Airtel kuendelea na shughuli zake kwenye minara hiyo lakini sasa akiwa amekodi nafasi.

Nini kimeikumba Bhati Airtel iliyowahi kutamba na Msudan Mo Ibrahim kama Celtel na kuwa 'The world's first borderless network' Afrika Mashariki?
Wow!
 
The same to voda na tigo walikua wanamiliki wakauza so walichofanya airtel sio kigeni….. wanapunguza management headache na kuongeza ufanisi zaidi
Outsourcing is the delegation of non-core operations from internal production to an external entity specializing in the management of that operation.
 
Running cost ni kubwa, wamewauzia RAHA TOWER .

Pia wameuza ghorofa lao pale Morocco kwa dola milioni 172.

Sio kweli mnasoma wapi hadi Kiingereza hamjui,ukisoma towers unajua ni ghorofa soma vizuri habari yote uilewe context yake. Hiyo habari ni kuuza hiyo minara. Pale Morocco jengo lile sio lao wamepangishwa na UWT ya CCM.
 
Makodi yapi?

Acha ujuha kijana!

Ifike wakati CHADEMA mrudi kama zama za Dr. Slaa na kuanza kuona kwamba haya makampuni yapo kwa maslahi yao. Airtel ina tuhuma kibao za kukwapua mtaji toka kampuni ya TTCL, nyie vijana wa Bavicha mliobalehe juzi mkiona haya mambo mnahisi Magufuli alikuwa anataka ili hizo kampuni zife.

Ifike wakati nyie washabiki wajinga wajinga wa chadema muone kwamba kampuni kama airtel haiwezi kufa kisa kodi maanaake wakiamua kukuibia wewe mbugila mbugila sh. 1 tu kwa kila mteja wanakuwa tayari wameshapata hela ya kulipa kodi.

Ifike wakati nyie washabiki wajinga wajinga wa chadema mnapotoa hoja humu muwe mnaleta na mchanganuo wa hizo kodi zilizofanya wauze minara yao.
Airtel wamemuibia ttcl au wameiibia serikali ya ccm tena serikali ikiwa madarakani na iliiba kwa kushirikiana na wanaccm wenyewe?
 
Sio kweli mnasoma wapi hadi Kiingereza hamjui,ukisoma towers unajua ni ghorofa soma vizuri habari yote uilewe context yake. Hiyo habari ni kuuza hiyo minara. Pale Morocco jengo lile sio lao wamepangishwa na UWT ya CCM.
Kwa mkataba wa kifisadi wakina lowasa ambapo uwt wameambulia maumivu tu, enzi zetu pale tulikuwa tunakula bata enzi za gogo hotel
 
Hapa mi najiuliza. Kama kupaendesha patakugharimu tsh 20 na ukipanga unapalipia tsh10 wakati uliyemuuzia anapaendesha kwa gharama zilezile ambazo umezikwepa wewe. Je nikivipi atapata faida?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unaemuuzia anawapangisha wengi mkuu kwenye mnara huohuo mmoja, mfano voda, tigo, airtel na halo wote wakipanga hapo ni sh40 hapo, halafu watu hawajui kuwa airtel ndio wamwisho kuuza tigo, halotel na voda walishauza kitambo ndio maana unakuta kuna site wanashea
 
Lile gorofa halina thamani hii ulivyoandika, hata 10% ya hii bei bado ni kubwa sana mzee.
follow link and read yourself, inajumuisha ghorofa na minara ambayo imehusisha kampuni ya "hellois towers"
 
Hapa mi najiuliza. Kama kupaendesha patakugharimu tsh 20 na ukipanga unapalipia tsh10 wakati uliyemuuzia anapaendesha kwa gharama zilezile ambazo umezikwepa wewe. Je nikivipi atapata faida?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Rudia kumsoma tena utaelewa...mnara mmoja unaweza kuwa na wapangaji zaidi ya mmoja, huoni kama ni win win situation? Mpangaji anapata kwa bei ya chini na mpangishaji anapata pato kubwa toka kwa wapangaji wengi.
 
Back
Top Bottom