GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Pale ushetanini hapawezi kukosa watu sheheHata hapa The Great Park, Tabata leo pako kimyaaa! Watu wachache sana leo...
Nakumbuka mlifikia kujiita Sinza kwa wajanja na Ali Choki [emoji23] [emoji23]Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Nimeona bandiko uchumi umepanda nashilingi inaikaba dola, vumilieni japo shida huwa haina kuvumilia.Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Kuna kuona na kutazama! Wewe unatazama lakini huoniThibitisha kua hali ni mbaya na ni mbaya kwa kweli.
Sikumlalamikia yeyote bali nimejibu post kwa mtazamo wanguSasa unamlalamikia nani?? Kama watu hawakujipanga na mabadiliko lazima watasombwa..
Huwezi kuishi kwa kutegemea siku zitafanana..
Hii ndio Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.. Nchi yenye watu wenye nidhamu.
Huku nyanya zinaona mashambani.?Kilimo kwanza
HAPA KAZI TUKatika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Haa! Wewe ndio yule aliyekuwa amekaa pale chini ya Transfoma? Utapigwa shoti... πππLabda leo ni siku ya kazi[emoji2] mi mwenyewe niko hapa
Kwetu pazuri inakarabatiwaHaa! Wewe ndio yule aliyekuwa amekaa pale chini ya Transfoma? Utapigwa shoti... πππ
Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.
Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Mkuu awamu hii wameziba mianya yoote ya ufisadi zile ela za burebure hakuna ni kufanya kazi tu kwa bidii ndio kutatuokoa.Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Ngoja tuone mwisho wakeMkuu awamu hii wameziba mianya yoote ya ufisadi zile ela za burebure hakuna ni kufanya kazi tu kwa bidii ndio kutatuokoa.