Nini kimeikumba Sinza, siku zote ilikuwa weekend?

Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.

Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.

Mtanzania nambari " moko " wa Magogoni " katukomesha " kama siyo " kutunyoosha ". Hata Vitambi sasa vimeyeyuka!
 
Angalia kwenye mtaa unaokaa uone jinsi maduka yalivyopukutika makabati hayana bidhaa ndio utajua hali ni mbaya. Kama kipindi hiki cha mpito kitaendelea kwa mwaka mmoja zaidi huyu mheshimiwa atachukiwa na kila mtu, maana watu wameishaanza kumchukia
 
Sio kweli,fikra zetu ndio zitakazo amua mwisho siku ukiona hakuna watu itakua ivo halikadhalika ukiona hakuna pesa tatizo watu walisha zowea kuishi kwa dili za wizi na mambo ya udalali feki wizi ujambazi uporaji ikawa bata kwa sana maana hela hawa jaitolea jasho kiulaini ,
hadi raha sasa matajiri nao wanaomba wasaidiwe buku ten sio mchezo mianya yote imezibwa.
 
Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.

Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
Nakumbuka mlifikia kujiita Sinza kwa wajanja na Ali Choki [emoji23] [emoji23]
 
Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Nimeona bandiko uchumi umepanda nashilingi inaikaba dola, vumilieni japo shida huwa haina kuvumilia.
 
Sasa unamlalamikia nani?? Kama watu hawakujipanga na mabadiliko lazima watasombwa..

Huwezi kuishi kwa kutegemea siku zitafanana..

Hii ndio Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.. Nchi yenye watu wenye nidhamu.
Sikumlalamikia yeyote bali nimejibu post kwa mtazamo wangu
 
Yaani siku hizi hata wale vijana team altezza sijui team subaru husikii ajari zao wakitoka club.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Katika kuijua sehemu hii ya Sinza kwa zaidi ya miaka 10, leo nimeshangaa sana. Hivi sehemu huwa haina cha weekend wala jumatatu wala Juma ngapi.

Huwa bar na bata ni kila siku. Lakini cha kushangaza leo nipo Sinza, na kweli kumekaa kama siku ya kazi, watu hawaonekani, vijiwe vitupu, madalali kelele sisikii, kunanani? Nini kimeikumba Sinza? Si kawaida kabisa.
HAPA KAZI TU
 
magufulism
 
Acheni utani this is very very serious nchi inaangamia uchumi unakufa mambo yanazidi kuwa magumu biashara zinafungwa..hali ni mbaya na ni mbaya kweli! Watu wanafilisika! Na wengi wamepata mashinikizo ya moyo na kupooza
Kimsingi nchi inaingia kwenye janga kubwa na la kihistoria
Mkuu awamu hii wameziba mianya yoote ya ufisadi zile ela za burebure hakuna ni kufanya kazi tu kwa bidii ndio kutatuokoa.
 
Nafarajika kusikia habari kama hizi, kukosekana watu wanaorandaranda mitaani.
Hii ni dalili ya watu kutawanyika kutafuta njia halali za kujikimu.

Nchi zilizoendelea pensioners tu na watu wachache sana ndio utawaona wapo mitaani, acha tubadilike na kujivunia maendeleo, it will take time
 
Back
Top Bottom